Excuse me!!!
Akikotomb...a shoga yako..men always be s men tu
Akikuletea watoto 5 mama tofauti. ..men always be a men.
Akilala na house gal wako...men always be men
Give me break.....
12. Kurudi kila siku usiku kwa kisingizio ulikuwa kazini1- kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
2-kuingia ndani na viatu vya matope wakati
kumeshadekiwa
3-kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
5-kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa
taarifa.
6-kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike
kuwa anavutia bila hofu.
7-kukosoa muonekano wa mke bila kujali
atajisikiaje.
8-kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
9- kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
10- kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
11-kutofua boxer na socks zake hadi wife
awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
YES! MEN WILL ALWAYS BE MEN,! Ungrateful creatures.
Na je msaidi anaposafiri? Ndio ushindwa hata kitandani?au kunyoa vuzi?
Men will always be MEN! Ukiona uko na dume la mbegu na ITIFAKI HAIZINGATIWI stuka mapemaaa atakuwa mfuasi wa CAMEROON si bure unles kama ushamtengeneza kwa mambo yetu yaleee ya kuchekea kwenye kinu.
Mhhh ...........
Mmmh mim ckubaliani na hayo kwasababu cjayaona kwake
Hapana kwa kweli sidhan japokuwa siusemei moya kwan ni lazima kila mwanaume awe na character hizo?USIUSEMEE MOYO...tena huyo atakuwa mwalimu wa waalimu...sasa si mpaka umfume au hizo tabia bado anakusikilizia au bado character za kiume hazijamuota mwilini!