Makosa tunayoyafanya sisi wanaume wa JF

Nyie wote mnazunguka tu.
dawa unafungua I'd ya kike na unaweka as avatar ya mdada mzurii
unakuwa conco wa mijadala na jokes.
unaanzisha ushoga na wadada kwa kutumia I'd fake ya kike
unajichatisha kwa I'd ya kike na kiume na kujitongozesha
kisha unazipiga screenshot na kuwaonesha wadada wenzako wa Pm.
hapo watakupa ubuyu wa wanaume wote wa jf
baada ya hapo unaanza kuwachota story zao na VITU/wanaume wanaowapenda
mwisho wa SIKU una beba namba zao.
ITAENDELEA. .......
 
Ebu leo ngoja kidogo niweke mambo sawa.
Hapa siku za karibuni pametokea vijana wengi wa kiume (humu jf) wakilalamika sana kuhusu wadada wa jf ama wanao kutana nao kwenye mitandao ya jamii.

Na tatizo lenu kubwa ninyi wanaume mnakosea sana unapo fahamiana ama kuvutiwa na mdada humu jf, moja kwa moja mnakimbilia kutongoza (which is wrong).
Naomba wanaume hasa wa humu niwape tips chache zinazo weza zikawafanya muwapate wadada hawa kwa urahisi kabisa.....

1. Unapo vutiwa na mdada wa humu, jaribu kwanza kujiweka karibu na maandishi yake kama threads na comments, na panapo bidi mtupie like za hapa na pale.
2. Jitahidi kuwa unacomment positive thing kwenye threads zake, na popote unapo mquote.
3. Jaribu kuanzisha mazungumzo nae kwenye public (sio pm). Baada ya hapo anza kuongea nae kule PM, hasa ukianza na salamu ikifuatiwa na habari ama aina ya mazungumzo yanayo mvutiaga hapa jf. Na jitahidi kumpa pole baada ya masaa ya kazi, bila kusahau kumpa pole kila anapo weka thread hapa inayo onekana kumuumiza.
4. Anzisha mazungumzo ya kutamani mfahamiane kama marafiki wa kawaida. Hii itakufanya wewe mwanaume usije ukajutia ama ukajikuta unamtongoza mwana dada ambae sio type na asie mwenye muonekano unao kuvutia.
Na hiki ni kipengele cha muhimu sana ambacho ukikizingatia haito tokea ukakuja hapa jf na kuanzisha uzi wa majuto ya kumtongoza mdada wa jf mwenye sura ya baba yake.
5. Unapo fahamiana na mdada wa humu, anza kuwa smart kwa kichwa na jitahidi sana kumuweka karibu karibu kila siku. Hii itamjenga na ataanza kuwa na imani na wewe, kisha utaona mwenyewe anakupa namba yake na hapo mnaanza sasa kuwasiliana nje ya jf.
Mwanaume wa jf, unapo fikia hatua hii haupaswi uonyeshe uchu ama haraka ya kutaka kuonana ama kumjua zaidi.....
6. Baada ya hayo yote jitahidi kwa akili yako wewe mwanaume ufanye uwezavyo ili uhakikishe unamuona ama mnaonana na mdada husika. Na ukifanikiwa kumuona, hapo sasa ndipo wewe mwanaume unaweza ukathaminisha kama anakufaa ama hakufai, na kama anakufaa basi anza kutupia ndoano kama kawaida.
7. Baada ya hayo yote, pasipo kujali kama umekubaliwa ama umekataliwa..... jitahidi sana kuwa msiri na usitamke ama usionyeshe popote humu jf kwamba eti unafahamiana na mdada flani.
Hili la usiri ninalisisitiza sana kwasababu, hapa ndipo wanaume wengi wa jf tunakwama.

Kumbukeni kwamba hawa wadada wa humu jf, wapo wenye uhitaji wa kweli na pia wapo warembo kama mke wangu.
Na mkiyazingatia hayo, basi mtakua mnajing'olea watoto kiulaini na kuwakula daily kama ninavyo fanyaga mimi..

Mkuu wengine hatuna muda wa hotuba ndefu hivyo hata wadada wenyewe hawanaga swaga zote hizo.....tatizo madada wengi humu wanakuwaga siyo kabisa nilisha wakimbia watano(5) (ila mwanzoni walinipata) ,manake tukipanga kuonana huwa najibanza akiniambia amefika hiyo sehemu napiga simu nikiona amepokea namyeyusha kwamba nafika sasa hivi hapo halafu nakata simu halafu namsogelea nimkimcheki nikiona halipi kabisa napotea au kama bado nina kinywaji naweka silence sipokei tena naendelea kugonga vyombo...ila sauti zao kwenye simu ni nyororo sana sijui kwa nini ndicho kinachoniponzaga!!!
 
Aiseeee.....
 
Back
Top Bottom