incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,241
- 3,533
Ni hatari ila naamini nitaumaliza ila ni msoto sana, unafanya biasbara nusu ya mauzo unarejeshaMikopo Inaburuza watu aisee...
Kuhusu Wagana ili kutoboa kibiashara,
Jana tuu nimeo watu wanabishana humu kwamba bila uganga hutoboi,
Nikashangaa vijana kuendekeza ndumba nikapita vile.
Hio ipo, mimi ilishanikuta hio, yaani ukiangalia duka unajiuliza mbona bidhaa ni chache kuliko pesa ninayotakiwa kurudisha na hata sijafuja pesa?Ni hatari ila naamini nitaumaliza ila ni msoto sana, unafanya biasbara nusu ya mauzo unarejesha
SahihiHio ipo, mimi ilishanikuta hio, yaani ukiangalia duka unajiuliza mbona bidhaa ni chache kuliko pesa ninayotakiwa kurudisha na hata sijafuja pesa?
Ikabidi nifunge Duka halafu nilipe pesa kwa mishe za nje...,
Ndio nikapata fundisho, mkopo ni wa kujazia tuu,
BTW bidhaa zikiwa dukani huo ukiangalia unaweza uone ni kimtaji kidogo ila ukakaa ukapiga hesabu za kila kitu unajua una pesa nzuri tuu,
Mimi nilitaka niuze duka, nikajisemea ngoja nijaribu kupiga hesabu, daa yule jamaa angefaidi sana , ilikua discount ya maana sikuiona,
Mwenyewe alijuta maana alikua analia nimpunguzie.
Ndo ulkuwa unahusu nini mkuuMwezi wa 1 hadi wa 8 mwaka jana, ni miezi ambayo mwanenu nilipitia msoto wa nguvu,yani kila kitu kilikuwa vuluvulu tu,kuanzia kwenye familia yangu (nakozaliwa) mpaka kwenye maisha yangu binafsi. Kama Ni simu hazikua zinaita yani ni mtu niliyekuwa kwenye msongo wa mawazo vibaa mno. Lakini MUNGU ni mwema bwana wakuu, katika pitapita zangu humu, nilikutana na uzi wa bwana "WATER WALKER" ambao kiukweli nilipoyafuata mafundisho yake, niliweza kumwona BWANA kwa uharaka tofauti na nilivyotarajia...maombi yangu kwake ni kwamba anijaarie nimjue zaidi ili amani yake iliyotimilifu iwe ndani yangu mwaka huu. AMINA!!
Hukupiga punyeto?Habari wakuu, ni matumaini hamjambo tumshukuru mwenyezimungu kwa nafasi hii ya kuuona mwaka Mpya 2024.
Yote kwa yote Mwaka 2023 kwangu ulikuwa mwaka wa kawaida sana nimepitia changamoto kadha wa kadha ma mafanikio kadha wa kadha hivyo sina sababu ya kuulaumu sana lakini pia sina sababu ya kuufurahia sana maana kuna vimakosa nilifanya ambavyo hadi sasa nahisi vinaendelea kunighalimi kiasi.
1. Kukopa mkopo bank. Mwaka jana nilikutana na vichangamoto vya hapa na pale katika biashara zangu, ila nilikosa msaada kabisa lakini katika kufikiria nikaona ni bora nichukue mkopo bank nijiboost kiasi ili biashara ikae sawa,
Ila changamoto nimechukua mkopo hadi sasa nimebahatika kurejesha miezi minne tu, nje ya miezi 12 nilitakiwa kurejesha, ila changamoto hadi hapa naona biashara bado inasuasua kiasi kwamba naona kabisa kwamba naweza kumaliza mkopo na biashara ikawa imerudi palepale ilipokuwa mwanzo, maana baada ya mkopo bank nadhani na nashetani aliibukia hapohapo nimeanza kukutana na changamoto nyingi sana hadi sasa, kuna mda inafika tarehe ya makato unakuta bado kiwango hakijatimia inabid nikimalizie siku mbele kadhaa, hii inaniweka roho juu sana.
2. Kushiriki Ibada za kishirikina na kiganga kwa kudhani ndio napata unafuu wa maisha ila kwa mtazamo wangu hakuna cha maana nilichoongezea zaidi ya kuweka usalama wangu rehani,
Katika Mapambano ya hapa na pale nikaona michongo haiendi na nikijiangalia familia inanitegemea na mtaa heshima unayonipa kiuhalisia ni tofauti na maisha yangu, yaani namaanisha ninaishi katika jamii inayonichukulia kama Tajiri au jamaa mwenye mafanikio makubwa ila kiuhalisia ninaoujua mimi ndani yangu najiona sina chochote zaidi ya sifa tu kwa watu wasiojua na face yapi katika harakati zangu,
Naishia kuvuna lawana kwa ndugu wanaohitaji msaada kwangu wakiamini nimewanyima kumbe sina chochote,
Hapa nikawaza kwenda kwa kaisali(maganga wa jadi) ili nipate unafuu wa maisha,
Ni stori ndefu kiasi nikipata mda nitasimulia ila kiufupi tu pamoja na kutumia galama ya kusafiri na mda wa kukaa kwa mganga wa kienyeji zaidi ya mwezi mmoja bila kuzalisha chochote nikiwa napigwa nyungu tu na kupitia mitihani na majaribu kibao, kupoteza pesa, na kuharibu mda wangu, Ila nilivyorudi kuingia ground hakuna chochote nimeona kimebadilika kwangu,
Kibaya zaidi nimejiongezea familia ya watu wanaonitegemea ni baada ya mganga kunigeuza kama mwanafamilia yake akikutwa na tatzo ananipigia simu na kuomba nimsaidie mda mwingine namsaidia kwa kuhofia anaweza kuniharibia zaidi maana nimeishi kwake mda mrefu na naamini kuna vitu vingi vya kwangu anavyo hivyo akiamua kunimaliza ni kitendo cha kugusa tu.
Kuna mda anaweza kusafiri kwa safari zake cha ajabu ananipigia sim yupo mjini na anahitaji aje kwangu hata bila taarifa na kama mnavyojua mjini kila kitu ni budget ila yy hajali anakuja anakaa na akiondoka anahitaji apewe nauli na kumfungashia kila kitu anachohitaji.
Kusema kweli mwaka 2024, naomba mungu aniongoze nimalize mkopo wa Bank, na pia nahitaji nifanye reformation ya maisha yangu niachane na huu utumwa wa huyu bibi liwalo na liwe.
Pia nahitaji nifocus na maisha yangu bila kutegemea mtu yeyote nimejiahidi kurudi kuwa bora kwa kila kitu kuanzia kipato hadi mindset,
USHAURU: Kama yupo anaejipanga kupitia katika njia hizi nilizopita mwaka 2023 namshauri asijaribu.
Nami naamin hivo mkuuYeye mwenyewe alisema ni Mungu mwenye wivu kama sisi tunavyo ona wivu wake zake wakiwasikiliz watu wengine,sasa ogopa aone wivu kwako utajuta.
Ndyo mana nasema humu ndani tusiyatimbe once u obey,always depend on him.
Mkuu mikopo haina shida ila nmeona kuna elimu kubwa sana ya kuhusu kukopa.Sasa tumuombe Mungu wakati tunakopa matatzo yasije.
Shukran mkuuPOLE SANA....
THIS TOO SHALL PASS.
Shkran kwa hii mkuuPole na hongera.
Ukiset- mindset Kwa kuamini kapu lako halitopungukiwa basi itakuwa hivyo. Na kila kitu kita-flow vizuri.
Tatizo limeanzia hpo ulipoenda Kwa mganga,shetani hawezi kumsaidia mwanadamu never,haijawahi tokeaHabari wakuu, ni matumaini hamjambo tumshukuru mwenyezimungu kwa nafasi hii ya kuuona mwaka Mpya 2024.