O Ommylady Member Joined Dec 3, 2013 Posts 23 Reaction score 4 Feb 27, 2014 #1 Makontena mawili yaliyokuwa yakitumika kwa biashara ya kuuzia simu na Mpesa yanauzwa yana air condition. Bei maelewano.
Makontena mawili yaliyokuwa yakitumika kwa biashara ya kuuzia simu na Mpesa yanauzwa yana air condition. Bei maelewano.
RealMan JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,394 Feb 27, 2014 #2 Hakuna kitu kinaitwa bei maelewano kiongozi. Wewe weka bei unayokusudia kisha wanunuzi wa ukweli watakutafuta kwa maelewano sasa. Ushauri tu.....
Hakuna kitu kinaitwa bei maelewano kiongozi. Wewe weka bei unayokusudia kisha wanunuzi wa ukweli watakutafuta kwa maelewano sasa. Ushauri tu.....
hero de mmar JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 470 Reaction score 108 Feb 27, 2014 #3 Ni vyema ungeandika bei ili mtu ajue anajikamuaje mkuu, pia uko sehemu gani #team_ushauri
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 222 Feb 27, 2014 #4 Ommylady said: Makontena mawili yaliyokuwa yakitumika kwa biashara ya kuuzia simu na Mpesa yanauzwa yana air condition. Bei maelewano. Click to expand... Bei tafadhali kuna mtu namjua alikuwa anayahitaji sana..! Sent from my iPhone
Ommylady said: Makontena mawili yaliyokuwa yakitumika kwa biashara ya kuuzia simu na Mpesa yanauzwa yana air condition. Bei maelewano. Click to expand... Bei tafadhali kuna mtu namjua alikuwa anayahitaji sana..! Sent from my iPhone
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 Feb 27, 2014 #5 Hayo makontena yapo Tukuyu?!