Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
Nilishasema haya maigizo tuyape muda..japo yataumiza wengi
Nyie sio wazalendo wa hii nchi nina wasiwasi na uraia wenu ina faa mchunguzwe.
Pamoja na nia nzuri ya Magufuli lakini awe makini...itafika mahali watamchomekea kwa lengo la kumdhalilisha kama ambavyo walishawahi mfanyia kikwete.
Jeshi la polisi na TRA walikuwa wana jiridhisha na ndio kazi yao na hawakukosea kabisa watu wanatakiwa kusafirisha mizigo wakiwa na documents....
Kwao unataka watu waonewe ndio uone kazi inafanyika? wakikamatwa mna lalama wakiachiwa mna lalama! Serikali haito muonea mtu na usitegemee wafanye kazi kwa matakwa yako.
Makontena yaliyokamatwa Mbezi yamebainika yamejaa vyuma kwa ajili ya ujenzi wa EPZ-A Bagamoyo, pia yalikuwa yamelipiwa ushuru stahiki, ukiachilia "exemption" yaliyokuwa nayo.
Beatus Kaboja, ED Heritage Empire LTD
===========================
My Take: Nimesikitika sana, pia nimeumizwa sana na kitendo cha TRA na polisi kufanya kazi kisiasa bila weledi.
Leo vyombo vingi vya habari na magazeti wameripoti kontena Tisa zilizokamatwa wakidai zilitoroshwa usiku wa manane
Taarifa ya habari maarufu habari ya saa afisa mahusiano ameonyesha nyaraka zote na hata afisa wa tra amekiri hakukuwa na ukiukwaji wa sheria na kontena zilibeba vifaa vya ujenzi wa kiwanda km nyaraka zinavoonesha na zililipiwa kodi.
Kasi ya magufuli isitumiwe vibaya kuchafua credibility za wafanyabiara wetu.
Please argue, don't shout!
Swala lilikuwa ni kuwa yale makontena hayakutakiwa kuwa pale bali yalitakiwa kuwa bandari ya nchi kavu ya EPZ A...! Pale yalipokutwa si mahala husika...hapo lazima kuna mwanya wa ukwepaji wa kodi....
Kaka kama unapotosha vile..maana kama umeangalia hiyo habari ya ITV ni kwamba; pale yalipokuwa ni storage area na si mahala tu kama unavyodhani wewe..ni ICD pia iliyopo ki halali. Na mwekezaji aliamua kuyahifadhi pale kwa makusudi yake. Hivyo basi wale wa TRA na Polisi wanavitengo vya upelelezi wangefuatilia kwa ukaribu sana kasha ndio wafanye media coverage kuonyesha wanafanyakazi. Si vyema kufanyakazi kwa kutafuta kick..anyway hata hivyo wahenga wanasema wasiwasi ndio akili..
Makontena yaliyokamatwa Mbezi yamebainika yamejaa vyuma kwa ajili ya ujenzi wa EPZ-A Bagamoyo, pia yalikuwa yamelipiwa ushuru stahiki, ukiachilia "exemption" yaliyokuwa nayo.
Beatus Kaboja, ED Heritage Empire LTD
===========================
My Take: Nimesikitika sana, pia nimeumizwa sana na kitendo cha TRA na polisi kufanya kazi kisiasa bila weledi.
Leo vyombo vingi vya habari na magazeti wameripoti kontena Tisa zilizokamatwa wakidai zilitoroshwa usiku wa manane
Taarifa ya habari maarufu habari ya saa afisa mahusiano ameonyesha nyaraka zote na hata afisa wa tra amekiri hakukuwa na ukiukwaji wa sheria na kontena zilibeba vifaa vya ujenzi wa kiwanda km nyaraka zinavoonesha na zililipiwa kodi.
Kasi ya magufuli isitumiwe vibaya kuchafua credibility za wafanyabiara wetu.
Please argue, don't shout!
Umenena vizuri kana kwamba containers ni za kwako. Kama ni zako, unajua hatua za kuchukua. Kama si zako, kwa wana JF tuache kuwasemea watu. Tulikotoka sote tunakujua vizuri na ndiyo maana UPINZANI ulitaka mabadiliko kwa kuwa Serikaoli ya CCM ilishindwa kuchukua hatua kali kwa wahujumu uchumi. Hatua za Serikali ya 5 ni madhubuti na uenda kutakuwa na watakaoumia kwa makosa ya makusudi ya watendaji. Hata huku JF tunatoa Kila siku shutuma zisizo na ukweli.
Kuna ulazima wa Serikali ya 5 kuthubutu na kuchukua hatua kali kwa wazembe na wahujumu uchumi, kurejesha nchi mikononi mwetu sote wananchi.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
hii ni aibu kubwa sana kwa jeshi la polisi , bila shaka laana ya alfonce mawazo imeanza kufanyakazi .Makontena yaliyokamatwa Mbezi yamebainika yamejaa vyuma kwa ajili ya ujenzi wa EPZ-A Bagamoyo, pia yalikuwa yamelipiwa ushuru stahiki, ukiachilia "exemption" yaliyokuwa nayo.
Beatus Kaboja, ED Heritage Empire LTD
===========================
My Take: Nimesikitika sana, pia nimeumizwa sana na kitendo cha TRA na polisi kufanya kazi kisiasa bila weledi.
Leo vyombo vingi vya habari na magazeti wameripoti kontena Tisa zilizokamatwa wakidai zilitoroshwa usiku wa manane
Taarifa ya habari maarufu habari ya saa afisa mahusiano ameonyesha nyaraka zote na hata afisa wa tra amekiri hakukuwa na ukiukwaji wa sheria na kontena zilibeba vifaa vya ujenzi wa kiwanda km nyaraka zinavoonesha na zililipiwa kodi.
Kasi ya magufuli isitumiwe vibaya kuchafua credibility za wafanyabiara wetu.
Please argue, don't shout!
Hata hivyo bado hakuna kosa lolote kujiridhisha kama kodi yetu imelipwa!Kaka kama unapotosha vile..maana kama umeangalia hiyo habari ya ITV ni kwamba; pale yalipokuwa ni storage area na si mahala tu kama unavyodhani wewe..ni ICD pia iliyopo ki halali. Na mwekezaji aliamua kuyahifadhi pale kwa makusudi yake. Hivyo basi wale wa TRA na Polisi wanavitengo vya upelelezi wangefuatilia kwa ukaribu sana kasha ndio wafanye media coverage kuonyesha wanafanyakazi. Si vyema kufanyakazi kwa kutafuta kick..anyway hata hivyo wahenga wanasema wasiwasi ndio akili..
Hapakazi tu. mtasubiri sana.
Mleta mada alijenga katika hifadhi ya barabara ndio maana anamchukia sana magufuli
Yeye mwenyewe kashindwa taja mali zake na Nyumba za serikali kagawia vimada na zingine kuhuza ajitumbue kwanza yeye.
swissme
Ukimsifia sana Mgema Tembo hulitia maji. Haya na mengine ndo yanayotokea Ila tusisahau siku AKIGUSA VYA WALIOMTANGULIA ndo hapo tutajua which is which. Stay tuned bro.