SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,087
- 75,519
Hapana mkuu!bado naendelea kukataa kwamba 'Nyerere alituletea fisadi Mkapa'!By that time mkapa hakuwa fisadi.Nyerere hakuwa Mungu wa kumtambua Mkapa kuwa atakuwa fisadi baadae.Unafahamu kuwa Mkapa aliingia ikulu akiitwa aka 'Mr.Clean'?Sasa hilo la kutuletea fisadi limetoka wapi?Ndomana nimekuuliza hayo mabaya ya Mkapa wakati akinadiwa na mwl Nyerere ni yapi ili tupate uhakika kuwa Nyerere aliyafumbia macho?Otherwise nakubaliana na wewe kuwa Nyerere hakuwa malaika,kuna makosa alifanya kama alivyokiri mwenyewe lakini hili la "kutuletea fisadi Mkapa"bado nalikataa.Huwezi kulinganisha hilo na Kikwete kuwapigia kampeni akina Mramba,Chenge,Lowasa na Rostam kwakuwa hawa tayari walikuwa ni sehemu ya mijadala ya ufisadi popote nchini na nje ya nchi.Sasa Mkapa as CCM presidential candidate by that time alikuwa na image ipi mbaya kuhusu utendaji wake?
basi nadhani kwa maelezo yako mnyakatari, natumai labda hayati mwl. Nyerere angezingatia kutojiingiza katika kushauri au kudominate power wakati wa kupitisha jina la mgombea uraisi ktk kipindi icho, kwani binadamu kigeugeu na anabadilika, yani jinsi unavyoniona nichukulie kama napretend, wajua mabenka wana utaratibu unaokuwa moyoni na si hadharani kuwa "lazima awe makini dhidi ya mteja yeyote atakaye tokea mbele kwani kama ukimuongezea ela hatorudisha, pia aweza kukuchomekea ela feki ukimshtukia atajidai nae hakufahamu au ni bahati mbaya" so aya ma kina ben ni majanja janja sana lakini na maovu yake bado anathaminiwa sana na ccm, log offhapana mkuu!bado naendelea kukataa kwamba 'nyerere alituletea fisadi mkapa'!by that time mkapa hakuwa fisadi.nyerere hakuwa mungu wa kumtambua mkapa kuwa atakuwa fisadi baadae.unafahamu kuwa mkapa aliingia ikulu akiitwa aka 'mr.clean'?sasa hilo la kutuletea fisadi limetoka wapi?ndomana nimekuuliza hayo mabaya ya mkapa wakati akinadiwa na mwl nyerere ni yapi ili tupate uhakika kuwa nyerere aliyafumbia macho?otherwise nakubaliana na wewe kuwa nyerere hakuwa malaika,kuna makosa alifanya kama alivyokiri mwenyewe lakini hili la "kutuletea fisadi mkapa"bado nalikataa.huwezi kulinganisha hilo na kikwete kuwapigia kampeni akina mramba,chenge,lowasa na rostam kwakuwa hawa tayari walikuwa ni sehemu ya mijadala ya ufisadi popote nchini na nje ya nchi.sasa mkapa as ccm presidential candidate by that time alikuwa na image ipi mbaya kuhusu utendaji wake?
nimeipenda na imesomeka, iko very trueufisadi wa mkapa haukuanza baada ya kuwa rais kwani kiti cha urais hakimfanyi mtu kuwa fisadi.ufisadi ni hulka ya mtu, hivyo mkapa alikuwa fisadi tangu anazaliwa ila tu alikuwa ameficha makucha yake, sasa mwalimu hakulijua hilo, fine,lakini kutokujua ufisadi wa mkapa hakumuondolei lawama ya kuwa ni yeye aliyemuingiza ikulu.
Shifta, naona uko kwenye payroll ya watu, au? Nashangaa umeshikilia wazo lako hili kila thread hadi unaonya watu wasikurupuke wakati wewe mwenyewe unakurupuka hapo. Acha kusafisha watu kwa kuchafua watu wanaoheshimika na jamii ya Tz na dunia. Baba wa Taifa alipompigia debe rais wa awamu ya tatu, Mkapa alikuwa kada safi bila tuhuma yoyote, hakuwa na makundi, wala backround ya ufisadi, bali alikuwa mjamaa kwelikweli. Kama siyo hivyo wewe utueleze kwa uthibitisho...Rejea posti yangu vizuri, mimi nimemkumbusha kuwa hata Baba yake alishatutia chaka la Simba na kutuaminisha kuwa Mkapa anafaa.
Usikurupuke kureply usichokielewa.
DW na wewe umetumwa tu na mwenzako ni Shifta. Ukweli huna hoja ya maana bali unapoteza muda wako ku-spin maneno ili uweze kutowa shutuma zako kwa hayati baba wa taifa. Mimi sikubaliani nanyi katika lengo lenu kamwe...Ufisadi wa Mkapa haukuanza baada ya kuwa rais kwani kiti cha urais hakimfanyi mtu kuwa fisadi.Ufisadi ni hulka ya mtu, hivyo Mkapa alikuwa fisadi tangu anazaliwa ila tu alikuwa ameficha makucha yake, sasa Mwalimu hakulijua hilo, fine,lakini kutokujua ufisadi wa Mkapa hakumuondolei lawama ya kuwa ni yeye aliyemuingiza ikulu.
katika maandiko gani? Nalog offHata shetani alikùwa malaika. "Just thinking."
Hakuwahi kuwa malaika bali aliishi na malaika "Just reminding"
Ufisadi wa Mkapa haukuanza baada ya kuwa rais kwani kiti cha urais hakimfanyi mtu kuwa fisadi.Ufisadi ni hulka ya mtu, hivyo Mkapa alikuwa fisadi tangu anazaliwa ila tu alikuwa ameficha makucha yake, sasa Mwalimu hakulijua hilo, fine,lakini kutokujua ufisadi wa Mkapa hakumuondolei lawama ya kuwa ni yeye aliyemuingiza ikulu.
Jamani hii habari ni ya lini? Makongoro aliyasema hayo katika kikao kilichoisha jana (25/11/2011) ni katika kikao kile cha mwezi Aprili, 2011? Naona humu JF tumeanza mtindo kulishana habari kama vile ni habari mpya kumbe ya zamani. Hata kama habari ni relevant ni vizuri ikawekwa sawa kwamba ni lini na wapi yalisemwa hayo.
Hakuwahi kuwa malaika bali aliishi na malaika "Just reminding"
Naliongea hili nikiwa sina maslahi kabisa na magamba! Mkuu usisahau wakati ule kiuongozi walau Mkapa alikuwa nafuu kuliko, Lowassa. Vichwa aina ya rostam ndo walimchakachua akili yake kuelekea 2005.
Hakuwahi kuwa malaika bali aliishi na malaika "Just reminding"
Huyu Makongoro sijui Makhirikhiri ni uharo tu anaouongea.
Baba yake alimshika mkono Mkapa na kutuambia kuwa Mkapa ni mtu safi.
Sasa ana usafi gani kwa mali alizojilimbikizia yeye na mkewe?