Makongoro Nyerere amfagilia Profesa Lipumba

Makongoro Nyerere amfagilia Profesa Lipumba

Makongoro inaelekea kayapima maji ameona hayaogeleki! Asitake kuweka shinikizo kwa mamlaka husika za uteuzi! Ameyataka mwenyewe ngoja aone kama atayazuia mafuriko kwa mkono!
 
nawaonea huruma CCM,kwani wanaosema ukweli hawatakiwi wakati na zama kama hizi nani anataka au atakubali kudanganywa? Makongoro sijapata mfano wake huyu alitakiwa aje huku kwa wenzake-UKAWA

Hapana acha tu akae huko huko ..kuna wakati Mungu anaamua ili kuokoa watu wake kama enzi za Nuhu. Huenda ni Mungu kaamua kuwapa CCM ukombozi na kulikwamu hili Taifa, Makongoro hana CV na anapambana na wenye kila aina ya CV na nyenzo lakini kwa makusudi jamaa atapita ili kurudisha Taiga hili. Tokea 2005 watu wamekuwa wanakusanyika uwanja wa Taifa kuliombea Taifa na wakiwa na imani kubwa ya kuwa iko siku sara zao zitajibiwa na endapo zimejibiwa basi Saudi ni lazima amshinde Goriat na kulifufua Taifa. Mwache akae huko ili akishinda huko basi atakuwa kashinda na kwa upande wa Ukawa make upande alipo ndo pagumu kuliko huku kwingine
 
Makongoro inaelekea kayapima maji ameona hayaogeleki! Asitake kuweka shinikizo kwa mamlaka husika za uteuzi! Ameyataka mwenyewe ngoja aone kama atayazuia mafuriko kwa mkono!

Hamna cha mafuriko mbele za Mungu labda kama mnakunywa chai naye
 
Hapana acha tu akae huko huko ..kuna wakati Mungu anaamua ili kuokoa watu wake kama enzi za Nuhu. Huenda ni Mungu kaamua kuwapa CCM ukombozi na kulikwamu hili Taifa, Makongoro hana CV na anapambana na wenye kila aina ya CV na nyenzo lakini kwa makusudi jamaa atapita ili kurudisha Taiga hili. Tokea 2005 watu wamekuwa wanakusanyika uwanja wa Taifa kuliombea Taifa na wakiwa na imani kubwa ya kuwa iko siku sara zao zitajibiwa na endapo zimejibiwa basi Saudi ni lazima amshinde Goriat na kulifufua Taifa. Mwache akae huko ili akishinda huko basi atakuwa kashinda na kwa upande wa Ukawa make upande alipo ndo pagumu kuliko huku kwingine

te te te.....Nimekusoma kiongozi,natoa hoja
 
Wazalendo wote tunamhitaji sana huyu jamaa au siyo?

Kila Mtanzania mwenye nia njema na Taifa hili anamuhitaji huyu.

Kila mwanajeshi Anahitaji Amiri Jeshi huyu.

Wasomi na wakulima wanamuhitaji.

Maskini kwa matajiri.

Wachungaji, Mapadre kwa mashekhe.

Wajamaa kwa mabepari.
 
Walitakiwa kuwa jela wajifunze kuimba waimbe wengine wapige ngoma zile zinaitwaa waimbe wimbo wa Seya au jeela jeela kubaaya.

Ahaaaa...yani sina hamu na nikikumbuka swaga zake makongoro anavyokuwaga ana zungumza , yani nimebaki kucheka tu.
 
Wazalendo wote tunamhitaji sana huyu jamaa au siyo?

Ni kweli mkuu make hata habari zake hazitolewi tena, tunatakiwa kuzipata na kuzisambaza kwenye mitandao ili watu wazipate tuweze kupambana mafisadi
 
Samaki mmja akioza wote wameoza.Makongoro analalamikia nini ambacho wtz hatufahamu?Wakati hayo majizi yanaiba hela yeye,CCM na serikali yake walikuwa wapi na mpaka sasa hayo majizi kwa kuwa wanayajua wameyafanya nini?Mwaka huu hatudanganyiki hela za CCM tutapokea ila kura hatuwapi.UKAWA ndiyo tumaini letu wa Tanzania.

Hast generalization.
 
DUH JAMAA MMOJA ANA ID 8 MWINGNE 6 MWINGNE 5 owte wanakuja hapa kumzungumzia makongoro... sasa makongoro naye ana akili? nyie mnamwona anavyofanya comedy zake kwa niaba ya membe then mnasema eti anaongea ukweli? mbona mnaikosea sna nchi hiii? makongoro ni vuvuzela tu akipulizwa anatoa mlio hata hajui huo mlio atauchezaje. hana loote ni bora nimchague mwigulu nchemba lakini si makongoro
Tumeshakusikia. Nenda kachukue posho yako. Wenye Mapenzi mema na nchi hawawezi kushabikia vibaka.
 
Kibaya zaidi wa hao mafisadi ni kwamba hawawezi kumgusa..
Watamgusa vipi kaka wa taifa.??
Serikali itakubali kuona machozi ya MAMA MARIA.??

hahahhaha...
 
Wazalendo wote tunamhitaji sana huyu jamaa au siyo?

Ndioooo!!! Hakuna mtangazania mwenye ujasiri wa kutamka waziwazi kwamba genge la mafisadi lisiachwe likaingia Ikulu.
Nani kama Makongoro? Watangazani wengi ni mapandikizi ya genge la mafisadi. Wanafadhiliwa na genge hilo!
 
Kila Mtanzania mwenye nia njema na Taifa hili anamuhitaji huyu.

Kila mwanajeshi Anahitaji Amiri Jeshi huyu.

Wasomi na wakulima wanamuhitaji.

Maskini kwa matajiri.

Wachungaji, Mapadre kwa mashekhe.

Wajamaa kwa mabepari.

anakubalika na wengi bila kujali itikadi za kisiasa hadi upinzani wanamkubali
endapo ccm wakimkata jina ni vyema akarudi upinzani na kisha akachukua fomu na kama akipitishwa na ukawa naamini itakuwa ndio mwisho wa ccm wala ukawa hawatakuwa na kazi kubwa na kumpigia debe na upinzan utaenda ikulu kupitia mako hivyo hivyo ccm wakimpitisha atashinda kwa asilimia nyingi ila hofu yangu akipitia ccm atakuwa bize na chama zaidi ya taifa. I wish u all the best mr. makongoro
 
Makongoro the 5th President of Tanzania.. welcome your excellency M.Charles.
 
Back
Top Bottom