structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 909
Mimi naona ni Good idea, Kama mwanajeahi au askari anasafiri bure.. Kwa nini mwalimu asidafiri bure na yeye? Wawe na vitambulisho tu... Mwalimu ni mtu muhimu sana ...Hao askari pamoja na ubabe wao,uniform na mamlaka bado wanaitwa "maiti' kwani sio hiari yao wenye mabus ndio itakuwa walimu wetu?
Atafute njia nyingine kuliko hiyo ambayo walimu wetu watanyanyaswa, kutukanwa na kudhalilishwa mpaka watauchukia huo ualimu bure!
Wazo lake laweza zuri lakini sio kwa wakati huu
Kuna watu wao kila kitu lazima akiponde...Makonda mbunifu, tumpe mda kabla yakuponda
Sioni namna ya waalimu kusafiri bure na wala hakuna sababu.Makonda mbunifu, tumpe mda kabla yakuponda
Huyo yupo kwenye usingizi wa pono,labda aende msoga aombe magari ya udaMkuu wa wilaya ya.kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.
Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa raisi mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa anamajukumu mengi hasa yakumsaidia mheshimiwa raisi.
Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu.au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.