Makonda usipoteze muda wako

Mkuu siwezi bishana na uelewa wako.
Upuuzi kwako ila sio kwa wote.

Nakutakia kila la kheri kwenye mambo yako yasiyo ya kipuuzi


hahaa kwamba tamko la Makonda lina umuhimu kwa jamii? kwahyo hvyo ndo vipaumbele vyenu (ukiwemo ww)?!
watoto wengi wanamaliza shule hawajui hata kusoma na kuandika...lakini mnakimbilia kwenye mambi yasio na faida kabisa..ati atakayechepuka afungwe miaka 30?πŸ˜…πŸ˜…..huu ni ujuha!
 
Usisahau kuwa single schools ndio chanzo moja wapo ya ushoga kwa jinsia zote.
 

Mkuu suala analolizungumzia Makonda linaweza kuwa la muhimu au laa.
Inategemea na mtu namna anavyofikiri na vipaombele vyake kwenye maisha.

Suala la makonda ni la muhimu kwa jamii zenye akili na maadili ya kibinadamu lakini sio muhimu kwa wenye tabia za unyama na maisha ya kuishi kama mbwa.

Kimaadili ni suala muhimu sana kwani familia ni moja ya nguvu kazi ya maendeleo kwa taifa lolote lile na dunia kwa ujumla.
Ikiwa jamii zitakuwa na ndoa zenye maadili ni wazi maendeleo yapo nje nje kabisa katika nyanja zingine za maisha.
 
Usisahau kuwa single sex schools ndio chanzo moja wapo ya ushoga.
 
haya mambi haya,dah 🀣
 


hhahahaa...! kwamba maendeleo yatakua nje njeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Wazungu ndoa na mahusiano vimewashinda lakinj ndo wao wanatuletea net! endelea kugalauka na kalamu kuandika urojo huu
 
hhahahaa...! kwamba maendeleo yatakua nje njeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Wazungu ndoa na mahusiano vimewashinda lakinj ndo wao wanatuletea net! endelea kugalauka na kalamu kuandika urojo huu

Wazungu wapi hao Mkuu?
Au wewe unazungumzia hawa wazungu pori wanaoigiza kwenye hollywood?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…