Makonda tena Dodoma amtunishia misuli UVCCM mwenzie

Makaratee

Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
36
Reaction score
9
MAKONDA ADHIHIRISHA UBABE WAKE NDANI YA CCM ALIYOYAFANYA KWA WARIOBA AYARUDIA DODOMA KWA KUTAKA KUMPIGA MJUMBE WA BARAZA LA VIJANA TAIFA

Mpiganaji akiwa karibu alishudia Hali ikizidi kuwa tete Katika Baraza La Vijana baada Ya juzi Kuanda Vijana Wa mtaani Kwenda Kumpiga na kupinga hoja Kinzani za walio andaa mdahalo ma katiba

Katibu wa Chipukizi na Hamasa Jumuiya ya Vijana ndugu Paulo Makonda leo ameudhihirishia umma wa wanaccm kuwa yeye ni kijana anaye endeshwa kwa utashi wa watu na si fikra zake huru baada ya kumfuata Mjumbe wa Baraza ndugu Sylvester Yaredi Chief nakumshinikiza amuunge mkono mgombea wake wa Uraisi anaye Mtaka Yeye,

Walipokuwa Wakijianda Na Semina Ilioandaliwa kabla ya Baraza la Vijana ndipo Paulo Makonda alipomfuata Yaredi nakuanza kumtisha huku akimsihi asipofanya hivyo atamfanyia kitu kibaya, Kijana toka Buyombe Sylvester Chief Yaredi alisimama imara Na kumombia makonda hakuna atakaye muingilia katika maamuzi na utashi wake,

Makonda alikwenda mbali sana kwa kumtusi na kumkashifu yaredi huku akimombia aache kumfuatilia katika mambo yake maana inasemekana yaredi na wenzie wachache Walio katika Group Moja la Whatssap wamekuwa wakimsema na kumuandama yakwamba yeye ndio aliyeratibu Mabango na vurugu dhidi warioba.

Makonda hakuishia hapo akamtaka Yaredi kuacha kumfuatilia vinginevyo atampiga,
Mwenendo huu umekuwa ni wakudumu kwa Ndugu Makonda kufanya mambo kwa utashi wake hata hivyo isingekuwa busara za Mjumbe wa Baraza Yaredi leo kungeweza kutokea maafa katika maeneo ya White House CCM makao Makuu. kwa taswira hii inayoendelea Makonda anazidi kupoteza uhalali wa uwepo wake katika jumuiya Ya vijana maana amekuwa kiongozi asiyeweza kujisahihisha.

hapa ni sehemu ya mwisho kwa makonda kujisahihisha akishindwa atakuwa amefanya kitendo cha kiungwa kulitaka baraza lichukue hatuwa ya kumsahihisha.
 
tena ilifikia hatua kamkunja shati tayari kwa kumpiga tunashukuru wajumbe waliokuwepo kwa kumokoa huyo mjumbe wa Baraza....ikumbukwe ni juzi juzi tu Makonda alituhumiwa kwa kumpiga Warioba makofi mawili.....
 
Ooh!Tulimsikia na ameonesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana.Tunaendeleaje kulea maradhi haya?
 
Walipokuwa Wakijianda Na Semina Ilioandaliwa kabla ya Baraza la Vijana ndipo Paulo Makonda alipomfuata Yaredi nakuanza kumtisha huku akimsihi asipofanya hivyo atamfanyia kitu kibaya, Kijana toka Buyombe Sylvester Chief Yaredi alisimama imara Na kumombia makonda hakuna atakaye muingilia katika maamuzi na utashi wake,
Mkuu,Hapo kwenye Red mbona ni kama mafuta na maji?
 
Katumwa na Membe amalize wale maadui zake 11, pole sana huyo mjumbe akae mbali na Makonda atamlimboka
 
Dogo tunamngoja Arusha,atakula beto lake kisha baaaasi
 
baraza lipi wakati anachokifanya ndio sera yao?
 
Back
Top Bottom