supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,979
Sanaa, na amekuwa na kiburi na jeuri ya hali ya juuHuyu jamaa anakula maisha acha kabisa
Huyu kuna siku atakuwa kama samuel Doe! Mtakaokuwepo mtanipigia simu! Yale yale ya Charles Njonjo!Hii tabia siku hizi inazidi kukomaa kwa huyu jamaa, hapo anazisema gari ndogo ndogo bila kufikiri kuwa wengi wa waliohudhuria hapo watakuwa na hivyo 'vigari vya kuhongwa hongwa' kama anavyosema mwenyewe.
Sipati picha uko na mke wako hapo mnatoka kwenye hiyo shughuli mnarudi kupanda Toyota RAUM au IST yenu, mke akiangalia pembeni kuna BMW X3 imepark, lazima mke akuone kakiazi fulani hivi.
Jamaa anajua kudhalilisha sana bila kuangalia wanaomsikiliza
View attachment 1112860
Mkuu nilichogundua kwenye hii nchi wazalendo wa kweli hawana nafasi na mamlaka, so ukipata nafasi ya pesa we piga ipasavyoukipata nafasi itumie vizuri
Mkuu nilichogundua kwenye hii nchi wazalendo wa kweli hawana nafasi na mamlaka, so ukipata nafasi ya pesa we piga ipasavyo
Anaona raia wote hawana akili kasoro yeye na baba yake tuSanaa, na amekuwa na kiburi na jeuri ya hali ya juu
Mungu atupe afya njema tuone mwisho wa kiburi, kama kinalipa tuwashauri watoto wetu wawe na kiburi[emoji12]Sanaa, na amekuwa na kiburi na jeuri ya hali ya juu
Huyu jamaa anakula maisha acha kabisa