Makonda ni mkuu wa wilaya gani?

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
376
Hivi karibuni ilitangazwa kuwa mkoa wa Dar es salaam umegawanywa na kuzaa wilaya mpya mbili ya Kigamboni na Ubungo.

Wilaya mpya ya Ubungo ilikuwa ndani ya Kinondoni.

Swali! Je? Makonda kwa sasa ni mkuu wa wilaya ipi? Ubungo au Kinondoni?

Maana naona ana kiherehere utadhani ye ndo mkuu wa mkoa huu
 
Hueleweki... Rudi Shule tena Majungu si Mtaji... Hapa tunaweka vitu wazi akikosea tunamsema na akipatia tunamsifia... jifunze Tujenge Nchi yetu... upinzani si uadui ni kuwekana sawa tu...
 
Swali! Je? Makonda kwa sasa ni mkuu wa wilaya ipi? Ubungo au Kinondoni? Maana naona ana kiherehere utadhani ye ndo mkuu wa mkoa huu
Tulia kwanza usiwe Na haraka
 
Hueleweki... Rudi Shule tena Majungu si Mtaji... Hapa tunaweka vitu wazi akikosea tunamsema na akipatia tunamsifia... jifunze Tujenge Nchi yetu... upinzani si uadui ni kuwekana sawa tu...
Hujaelewa nini hapo Div.5 ni tatizo, wewe ndo urudi shule.
 
Kwani zamani alikuwa mkuu wa wilaya gani?
Lini umesikia amehamishwa?....punguza puvu mleta mada watu wapige kazi
 
Hueleweki... Rudi Shule tena Majungu si Mtaji... Hapa tunaweka vitu wazi akikosea tunamsema na akipatia tunamsifia... jifunze Tujenge Nchi yetu... upinzani si uadui ni kuwekana sawa tu...
Well said mkuu
 
Hivi karibuni ilitangazwa kuwa mkoa wa Dar es salaam umegawanywa na kuzaa wilaya mpya mbili ya Kigamboni na Ubungo.
Wilaya mpya ya Ubungo ilikuwa ndani ya Kinondoni.
Swali! Je? Makonda kwa sasa ni mkuu wa wilaya ipi? Ubungo au Kinondoni? Maana naona ana kiherehere utadhani ye ndo mkuu wa mkoa huu
Kwani mkuu wa wilaya ya Kigamboni ni nani??
 
Hueleweki... Rudi Shule tena Majungu si Mtaji... Hapa tunaweka vitu wazi akikosea tunamsema na akipatia tunamsifia... jifunze Tujenge Nchi yetu... upinzani si uadui ni kuwekana sawa tu...
Inaonekana wewe ndie unatakiwa urudi shule kwani ulitakiwa umsaidie ajue sio mambo ya shule! siku zote mtu wa akili ndogo hukimbilia kushutumu badala ya kutoa msaada!
Ndugu, hadi sasa uteuzi haujafanywa wa wilaya mpya hivyo anaendelea na Kinondoni yake.
 
Safi Sana!
 
Umuhimu wa kurudi shule mtoa mada upo, inamaana hajui kuwa Wilaya mpya uteuzi bado wa ma DC??

Na kama hajui kuwa makonda ni DC kinondoni basi mtoa Mada atakuwa ni mtu anayeishi porini sana au ni muhamiaji haramu!!
 
Hivi karibuni ilitangazwa kuwa mkoa wa Dar es salaam umegawanywa na kuzaa wilaya mpya mbili ya Kigamboni na Ubungo.

Wilaya mpya ya Ubungo ilikuwa ndani ya Kinondoni.

Swali! Je? Makonda kwa sasa ni mkuu wa wilaya ipi? Ubungo au Kinondoni?

Maana naona ana kiherehere utadhani ye ndo mkuu wa mkoa huu
Unaishi kijiji gani ambacho kina washamba hivyo?
 
Umuhimu wa kurudi shule mtoa mada upo, inamaana hajui kuwa Wilaya mpya uteuzi bado wa ma DC??

Na kama hajui kuwa makonda ni DC kinondoni basi mtoa Mada atakuwa ni mtu anayeishi porini sana au ni muhamiaji haramu!!
Wewe pia shule inakuhusu

Hata kama uteuzi bado lakini yupo anayekaimu
 
Back
Top Bottom