Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,624
- 3,653
Kupitia taarifa ya habari usiku huu nimeona eti msako wa sukari unaendelea na viongozi tajwa wapo kazini.Kilichonishangaza nikwamba kumbe hata mifuko 200 ya sukari mnakamata.Kama nihivyo hamtaki watu waweke mizigo yao stoo?Hiyo nifuso mojatu sasa kwanini mnakuza hili jambo?Hivi watu wakiacha kuweka mzigo stoo mnataka hata wafanyabiashara wa kati wakachukue mifuko miwilimiwili na maguta?Eti mifuko 200 DC anaichunguza,hii ni aibu kubwa je ingekua kontena 200 ingekuaje
Nawaambia MAKONDA NA HAPI HATA MH.RAISI ATAWASHANGAA KWASABABU NA NYIE MNAKUA TATIZO SASA NA INABIDI AWATATUE,tena nasema mifuko 200 nikidogo sana tena sana
Nawaambia MAKONDA NA HAPI HATA MH.RAISI ATAWASHANGAA KWASABABU NA NYIE MNAKUA TATIZO SASA NA INABIDI AWATATUE,tena nasema mifuko 200 nikidogo sana tena sana