Makonda/Lukuvi peleka wafanyalazi ktika Office ya Ardhi ya Manispaa ya Kinondoni

Mndengestani

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,005
2,000
Baada ya kuongezwa kwa wilaya ya Ubungo wafanya kazi wa office ya Ardhi ya manispaa ya kinondoni iliyopo Mwananyamara Hospitality sasa inawafanyakazi wachache baadhi ya idara haina wafanyakazi kabisa pale wakuu wote wameanishwa na hawajaletwa wengine mpakaleo hii imepelekea kukosa huduma ktk office hile. Mm moja ya muhanga nimezungushwa sasa huu mwezi mmoja sasa kitu chenyewe kudogo tu, nikienda bossi hayupo mpaka aje bossi wa wilayani, mala mafaili yamekwenda kusainiwa kwa bossi wa wilayani ss hatujaletewa bossi, yule wawilayani nae mudamwingi yupo site yaani mpaka michosho hii kelo tumechoka kusumbuliwa kama vp fungeni office tujue moja
 

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
500
Acha uongo watumishi wapo sema tatizo la wafanyakazi wa Kinondoni ni rushwa unazungushwa ili utoe mie nilidhani Mh.Makonda Na Mh.Lukuvi wawahamishe waliopo waletwe wapi .
 

Mndengestani

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,005
2,000
Acha uongo watumishi wapo sema tatizo la wafanyakazi wa Kinondoni ni rushwa unazungushwa ili utoe mie nilidhani Mh.Makonda Na Mh.Lukuvi wawahamishe waliopo waletwe wapi .
Sasa wew uchobisha nn mim mwenyewe leo hii nmekwenda mara ya 5 nimekutana na mkuu was magomeni tena nilipewa file langu niende ktk office yake ya magomeni[wilayani] kabla cjatoka nayeye akafika na kukili tatizo hilo. Mijitu mingine inabisha jambo ambalo halijui eti wapo Nitajie aliekuepo pale acha kulosoka jambo usilolijua
 

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
938
1,000
Kinondoni hapafai Idara ya mipango miji , Ardhi, Uthamini Na Upimaji no balaa tupu wapo pale kibiashara kurekebisha Mchoro wa mipango miji ni Mamilioni, kuandaliwa au kubadili jina ni Mamilioni, Kuthaminisha Nyumba au mazao ni balaa Kupima Kiwanja au Kufufua mipaka in Mamilioni yaani ni Ofisi ya wafanyabiashara sio ya serikali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom