liharibikalo
Member
- Jan 18, 2014
- 75
- 57
sababu eti bila kutumia rushwa ni vigumu kupata uongozi kwa kupitia njia halali ya sanduku la kura.
Wewe ni kijana mzalendo kwa kiasi fulani lakini you are undemocratic, kwa maana kwamba unajiaminisha kuwa vijana wazalendo wako CCM of which you are completely wrong.
Ili tanzania ya karne ya 21 ipate maendeleo ya wengi vijana wote wa kitanzania hatunabudi kufikiria kitanzania kuliko kufiria kichama chama. Nchi hii itajengwa na watz wenye moyo na uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu tanzania bila kujari ni CCM, CUF, CDM, au chama chochote cha kisiasa, mkristo, mwiislamu au mpagani.
I still believe kwamba pamoja na watu kukilalamikia chama tawala kwa kushindwa kuleta maendeleo kwa wananchi wetu wengi masikini vijijini na mjini bado tuna watu safi sana and committed ndani ya chama tawala kama wewe Ndg Makonda.
Kwa mtazamo huo, bado ninaimani vile vile bado tuna viongozi na watz wengi sana ndani ya vyama vya upinzani walio wazalendo kwelikweli wanaoweza kufanya kazi pamoja na wazalendo wa ndani ya CCM ili kujenga taifa letu...nchi ya maziwa na asari japo twasema ni nchi masikini! Bila kuwa na mtazamo na itikadi ya ina