MAKONDA LIVE:-

MAKONDA LIVE:-

Mkuu utafatiliwa huko huko mbeya upimwe kwa siri. Nasikiaga serikali ina mkono mrefu sana
Mkuu watu wa mbeya hawana tofauti na watu wa musoma, hao watu wasiojulikana wakija mbeya ndiyo utakuwa mwisho wao, watachunwa na ngozi
 
Amekurupuka baada ya kuandikwa jana humu
JF kiboko
Haya ongea utumbo wenye akili za kukopa wakusikilize
 
Atakayesikia aandike. Unaweza ufungue ukute ni clip ya long.
 
images.jpg
wanaume wa dar mjiandae kupimwa tezi dume na mc D bash wa kolomije,Ky jelly lazima ihusike
chezeeea bash boy wewe,had dege la emirates la waarabu likatua dar kuja kushuhudia zoezi kumbe tarehe ilikuwa haijafika
 
Lubricant zimepatikana za kutosha tayari kwa kuanza zoezi la upimaji
 
Back
Top Bottom