Mzee umewaza kiintelijensia sanaWakubwa wako wanategemea ukaoneshe grandiose zako upambane na CDM. Katika kupambana nao wanajua huna akili za kiungwana hivyo utajikuta umefanya jinai
Potezea upuuzi kama huoKuna tetesi nimeziona Twitter kuwa Makonda alitaka kugombea urais kupitia chama fulani cha upinzani mwaka 2025.
Ole wenu arusha na viunga vyake, kwa maana yule muuaji aliyesababisha nyumba nyingi kuwa na matanga ya wototo wao akiwa RC Dar ameletwa kwenu.Ndugu yangu Makonda system iliyopo sasa inakutumia kama toilet paper.
Ulipewa uenezi wa chama.. ukatamba na kuibua madudu ya chama na serikali yako.
Wananchi wenye fikra fupi wakakuona mwokozi wao wakati sisi waelewa tulijua tangu mwanzo kuwa mnafanya maigizo.
Hata hivyo kwa kuwa mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania, ziara yako iliweza kuirudisha imani ndogo ya wananchi kwa chama.
Wakubwa na wasiokupenda walipokaa kitako wakaona unaichafua serikali ya Mama na kujisafisha wewe na team Magu.
Wakubwa waliponusa hatari wakaamua wakupoteze kwenye ramani ya siasa.
Huko Arusha ulikopelekwa ni mtego kwako. Jitahidi sana uushinde.
Wakubwa wako wanategemea ukaoneshe grandiose zako upambane na CDM. Katika kupambana nao wanajua huna akili za kiungwana hivyo utajikuta umefanya jinai.
Mwisho wa siku utaishia jela kama mwenzako Sabaya.
Wakati unateseka huko jela team JK akina Nape , Makamba n.k watakuwa wanakula kuku kwa mrija.
Ushauri:
Be humble, tengeneza mazingira sawa ya siasa kwa vyama vyote, jiepushe na migogoto otherwise ukipeleka ubabe huko utakutokea puani.
Chuga ipi hiyo yenue watu vichwa ngumu? Sabaya alikuwa DC wa Hai lakini alikua akishinda Arusha akijipigia hao unaowaita vichwa ngumu. Hata sasa anaishi nao huko hukoHatatoboa huko, akimaliza hata mwaka huu akatoe sadaka. Hapo chuga ni mji una watu vichwa ngumu sana na kutokana na kiburi na ubabe wake, atafanya hicho ulichosema yaani jinai, kupiga watu, kutoa kauli za hovyo, vitisho etc ambapo itamgharimu.. Ameshindwa kusoma mazingira na kubadilika kuendana na wakati uliopo. Kila speech Magufuli hivi magu vile, inatakiwa akubali kuwa zama za jiwe zimeshapita na sasa ni zama mpya, afuate kinachotakiwa na hawa watawala wa sasa, period
Huyu jamaa kwenye siasa yupo vizuri sana ila tatizo lake anajaribu kujionesha ni mwamba mwenye misimamo mikali ya mwamba Magufuli, pasipo kusoma alama za nyakati ili angalau Aishi kinafki na team ya upigaji madili ya msoga gang kwa ushauri ningemshari ni heri akatae teuzi zao kama hawezi kumsaliti mwamba MagufuliNdugu yangu Makonda system iliyopo sasa inakutumia kama toilet paper.
Ulipewa uenezi wa chama.. ukatamba na kuibua madudu ya chama na serikali yako.
Wananchi wenye fikra fupi wakakuona mwokozi wao wakati sisi waelewa tulijua tangu mwanzo kuwa mnafanya maigizo.
Hata hivyo kwa kuwa mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania, ziara yako iliweza kuirudisha imani ndogo ya wananchi kwa chama.
Wakubwa na wasiokupenda walipokaa kitako wakaona unaichafua serikali ya Mama na kujisafisha wewe na team Magu.
Wakubwa waliponusa hatari wakaamua wakupoteze kwenye ramani ya siasa.
Huko Arusha ulikopelekwa ni mtego kwako. Jitahidi sana uushinde.
Wakubwa wako wanategemea ukaoneshe grandiose zako upambane na CDM. Katika kupambana nao wanajua huna akili za kiungwana hivyo utajikuta umefanya jinai.
Mwisho wa siku utaishia jela kama mwenzako Sabaya.
Wakati unateseka huko jela team JK akina Nape , Makamba n.k watakuwa wanakula kuku kwa mrija.
Ushauri:
Be humble, tengeneza mazingira sawa ya siasa kwa vyama vyote, jiepushe na migogoto otherwise ukipeleka ubabe huko utakutokea puani.
Hata Kama katoka lakini alishalala na vibaka, wahuni na wahalifu wengine.Sabaya yupi aliyeishia jela?
We ni unayemwita shetani mwamba ulitakiwa uwe Mirembe.Huyu jamaa kwenye siasa yupo vizuri sana ila tatizo lake anajaribu kujionesha ni mwamba mwenye misimamo mikali ya mwamba Magufuli, pasipo kusoma alama za nyakati ili angalau Aishi kinafki na team ya upigaji madili ya msoga gang kwa ushauri ningemshari ni heri akatae teuzi zao kama hawezi kumsaliti mwamba Magufuli