Makonda haya maisha yana mwisho utashuka utatukuta

Hahahhahahahahhahah maneno ya mkosaji hayo.Mmetengeneza bifu nyingi imeshindikana,wakati jana walikuwa wote .Pole ila kikubwa acha fitina
unajua ni kwanini Lema aligoma kumpa mkono meya Lazaro pale mahakamani siku ile? unaijua sababu? mimi ni international spy najua kila kitu kinachoendelea ndani ya CHADEMA ugomvi wa Lema na meya wake tunaujua mpaka chanzo chake na Lazaro lazima ampindue Lema Arusha
 
Nimesoma thread ya Bw.Mkubwa Paulo Makonda akiwakebehi wote walioguswa Na tukio la Uvamizi alilolifanya ijumaa katika Ofisi za Clouds FM.Bwana mkubwa huyo amediriki kuwasema baadhi ya viongozi eti wamekalia uongo badala ya kumwunga mkono vita vya madawa ya kulevya wamekakia kumsema yeye.Tunamwuliza Na yeye Kule Clouds ule usiku Na lile jeshi Na mabunduki alikwenda kuwakamata wauza madawa ya kulevya au alipeleka uongo wake? Tunamkumbusha Makonda Mpanda ngazi ni lazima ashuke IPO Sikh atashuka atatukuta huku chini tuliko.Kina Makongori Nyerere walizaliwa Ikulu Leo wako wapi? Ridhiwani Kikwete yuko wapi tunakusubiri kiongozi.

Kweli JPM Kiboko. Mawazo kama haya ni ya mtu aliyekata tamaa. Pole sana
 
Nyie watu mmetekwa akili zenu, hivi chujio la common sense limetoboka au halipo kabisa huko kichwani??
Unaamini kabisa huu uozo umeandikwa na Pail Makonda!! Duh, nyie kama ni kuwatawala basi muendelee tu kutawaliwa na kina mbowe maana upstairs ni empte!
Jiepushe na uzuzu,Kipi rahisi kutengeneza video na kuandika?
Kama aliweza kutengeneza video na kufanya hayo yanayo semwa,ni kipi kitakacho tufanya tusiamini kuwa Si yeye aliyea toa masndiko yale?
 
Nimesoma thread ya Bw.Mkubwa Paulo Makonda akiwakebehi wote walioguswa Na tukio la Uvamizi alilolifanya ijumaa katika Ofisi za Clouds FM.Bwana mkubwa huyo amediriki kuwasema baadhi ya viongozi eti wamekalia uongo badala ya kumwunga mkono vita vya madawa ya kulevya wamekakia kumsema yeye.Tunamwuliza Na yeye Kule Clouds ule usiku Na lile jeshi Na mabunduki alikwenda kuwakamata wauza madawa ya kulevya au alipeleka uongo wake? Tunamkumbusha Makonda Mpanda ngazi ni lazima ashuke IPO Sikh atashuka atatukuta huku chini tuliko.Kina Makongori Nyerere walizaliwa Ikulu Leo wako wapi? Ridhiwani Kikwete yuko wapi tunakusubiri kiongozi.

Tunamlani au tunamuombea mabaya. Tumuache mtoto wa watu achape kazi. Hapa kazi tu
 
Nimesoma thread ya Bw.Mkubwa Paulo Makonda akiwakebehi wote walioguswa Na tukio la Uvamizi alilolifanya ijumaa katika Ofisi za Clouds FM.Bwana mkubwa huyo amediriki kuwasema baadhi ya viongozi eti wamekalia uongo badala ya kumwunga mkono vita vya madawa ya kulevya wamekakia kumsema yeye.Tunamwuliza Na yeye Kule Clouds ule usiku Na lile jeshi Na mabunduki alikwenda kuwakamata wauza madawa ya kulevya au alipeleka uongo wake? Tunamkumbusha Makonda Mpanda ngazi ni lazima ashuke IPO Sikh atashuka atatukuta huku chini tuliko.Kina Makongori Nyerere walizaliwa Ikulu Leo wako wapi? Ridhiwani Kikwete yuko wapi tunakusubiri kiongozi.
Makongori sijampata sawasawa. Ndio nani?
 
Goliati jitu kubwa la kutisha lilipigwa na Daudi likaangamia. Iko siku.
 
Uzito wa bunduki unatofautiana kutokana na mahitaji. But not less ya 8 kg. Kuna smg. Mk 4. G3 .Rr. Ak. Nk.
 
Back
Top Bottom