Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Nimesoma thread ya Bw.Mkubwa Paulo Makonda akiwakebehi wote walioguswa Na tukio la Uvamizi alilolifanya ijumaa katika Ofisi za Clouds FM.Bwana mkubwa huyo amediriki kuwasema baadhi ya viongozi eti wamekalia uongo badala ya kumwunga mkono vita vya madawa ya kulevya wamekakia kumsema yeye.Tunamwuliza Na yeye Kule Clouds ule usiku Na lile jeshi Na mabunduki alikwenda kuwakamata wauza madawa ya kulevya au alipeleka uongo wake? Tunamkumbusha Makonda Mpanda ngazi ni lazima ashuke IPO Sikh atashuka atatukuta huku chini tuliko.Kina Makongori Nyerere walizaliwa Ikulu Leo wako wapi? Ridhiwani Kikwete yuko wapi tunakusubiri kiongozi.