Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

mwambojoke

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
1,068
637
USIEMPENDA KARUDI

Screenshot_2017-02-12-22-04-04.png
 
Makonda needs to sort this out... yanaanza kumshinda.

Ni heri tu ajiwithdraw kwenye hii ishu, aseme tu anakabidhi everything kwa mamlaka husika ndo waendelee na hili swala.

Lakini kadri anavozidi kulikomalia ndo watu watakavozidi kufight back especially kwake, in the end atakuwa cornered ashindwe pakutokea.
 
Mh Makonda we are so proud of you angalau umewajambisha wauza udaga wametuharibia ndugu zetu sana HATA KAMA UMEKOSEA FORMULA ILA UMEJARIBU ANGALAU KUTAKA KUISOLVE HESABU YA MAUZA UDAGA.
JPM kakupa kamishina msaidiane kubuni mbinu ili myakamate na vidhibiti ili yaumbuke.UKIWA NA NDUGU MUATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA HUWEZI KUMCHUKIA MAKONDA.
 
Back
Top Bottom