Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Si ana remote ya mapolisi.. Anaweza kuwaamuru fanyeni hivi wakafanya.Huyu naye anakurupuka kama kawaida yake alimwambia ana uwezo wa kuzuia maandamano ni nani?
Tangu lini ulimuona paka anamzaa kondoo?Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.
Makonda amesema kuwa kauli ya Rais ni moja ya mambo aliyoapa kuyatii na kuyatenda. Makonda ameanza...
Chanzo: Habari,Channel Ten usiku huu
Anatetea kitumbua chake huyoHuyu naye anakurupuka kama kawaida yake alimwambia ana uwezo wa kuzuia maandamano ni nani?
Dsm hatuhitaji kuisikia kabisa ccmHahahahahaha haya buana
Ninachofahamu Dar iliikataa CCM, waende polepole
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.
Makonda amesema kuwa kauli ya Rais ni moja ya mambo aliyoapa kuyatii na kuyatenda. Makonda ameanza...
Chanzo: Habari,Channel Ten usiku huu
Tutamjibu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na hapo ndio atajua kuwa wanyonge wanawezaSi ana remote ya mapolisi.. Anaweza kuwaamuru fanyeni hivi wakafanya.