Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,894
- 6,414
Sio mashaka,Anazunguka nchi nzima kusikiliza kero za wananchi,na inaelekea kwamba hapa na pale anafanikiwa kumsaidia mtu.
Lakini jambo muhimu kwake yeye ni kuwa na heshima kwa viongzi wastaafu...
Hata mimi sijamuelewa analengo tuelewe nini juu ya andiko lake. Maana sijamuelewa vizuri.Umechanganya mambo Mengi 🐼
Umechanganya mambo Mengi
Eti nami nimsifie mtu "anaupiga mwingi" ilhali Si mshabiki wa mpira!!!kama kwa mfano nimeona Mzee Mizengo Pinda anamlalamika Makonda.
Sass nimsifie mtu amejenga barabara,kwani mimi ninayo gari mpaka nimsifie mtu aliyejenga barabara?
Ubongo wako Lucas, hautoshi kumwelewa mtu " Supper Intelligent"Hata mimi sijamuelewa analengo tuelewe nini juu ya andiko lake. Maana sijamuelewa vizuri.
CCM ni panyaAnazunguka nchi nzima kusikiliza kero za wananchi,na inaelekea kwamba hapa na pale anafanikiwa kumsaidia mtu.
Lakini jambo muhimu kwake yeye ni kuwa na heshima kwa viongzi wastaafu,ambao umeona wengine wanalalamoka,kama kwa mfano nimeona Mzee Mizengo Pinda anamlalamika Makonda.
Kama watu wamestaafu ni lazima waachwe wastaafu kwa amani. No nakosa imani kabisa na huyu Makonda. Mi nimepata matatizo na DC Butiama sikupata msaada wowote kutoka kwenye Chama.
Mimi sina imani na Makonda.
Sass nimsifie mtu amejenga barabara,kwani mimi ninayo gari mpaka nimsifie mtu aliyejenga barabara?
Mimi sihusiki na mambo yoyote ya Chama na serikali.
Hakuna kiongozi ambaye anspokuwa na hofu kuhusu kazi take,anahofu kwamba mimi ndio tishio. Waziri most probably atahofu Naibu Waziri anataka kazi yake.
Kwa hiyo mimi naomba niachiwe niishi kwa amani.
Kwa kiufupi jamaa kachanganyikiwa😂Umechanganya mambo Mengi 🐼
Kusoma utasoma lakini kuelewa ,hutaelewa ndugu Jo!!Umechanganya mambo Mengi 🐼
Kwamba wasiojulikana wamerudi kazini baada ya likizo kwisha?Hakuna amani. Nipo Arusha naishi kwa rafiki exiled from my house. Sasa najiuliza ( kila siku)nafanya nini hapa Arusha wakati mimi siyo Mmasai?
Wamepishana nini na huyo mzeeLakini jambo muhimu kwake yeye ni kuwa na heshima kwa viongzi wastaafu,ambao umeona wengine wanalalamoka,kama kwa mfano nimeona Mzee Mizengo Pinda anamlalamika Makonda.
Confusion is the home of the dark!!Kwa kiufupi jamaa kachanganyikiwa😂
Anazunguka nchi nzima kusikiliza kero za wananchi,na inaelekea kwamba hapa na pale anafanikiwa kumsaidia mtu.