Makonda aita mafundi simu anatogro

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,771
7,138
Wanajamvi
Mkuu wa mkoa wa Dar Makonda na TCRA wameitisha kikao cha mafundi simu wote pamoja na TCRA, mimi kama mdau wa Technologies nitahudhuria na kuwapa update
 
Mgt software hapo utajiri umekurudia. Mkijipanga apo mtacheza na fursa. Nawajua kwa kucheza na motheboard na imei nyie viboko.
 
Wanawatishia kuwa ukiiflash sim utakula miaka 30 na mtu akileta simu kuiflash wanatakiwa waziorozeshe majina .. Sasa mimi naenda kuziflash Kenya afu nazileta bongo

Mimi nitakwenda nazo msumbiji, ukileta simu yako nakupa muda wiki moja uifate, ikirudi mpaka housing nabadilisha ushahidi wote. Mafundi sasa tutafaidika kama wanasiasa.
 
Wanajamvi
Mkuu wa mkoa makonda na tcra wameitisha kikao cha mafundi simu wote pamoja na tcra, mimi kama mdau wa technologies nitahuzuria na kuwapa update

Mgt mbona mimi sijapata kadi ya mwaliko, nimeanza ufundi zamani miaka ya 2000, saivi ni fundi mkongwe kama una kadi nipm nikaweke mambo sawa.
 
Kama ni feki ina maana zinakufa mapema.Kwanini wasiziache zikafa zenyewe ila wakazuia kuuza na kuingiza mpya nchini?
 
Mimi nitakwenda nazo msumbiji, ukileta simu yako nakupa muda wiki moja uifate, ikirudi mpaka housing nabadilisha ushahidi wote. Mafundi sasa tutafaidika kama wanasiasa.
Angalia kifungo njenje
 
Wanawatishia kuwa ukiiflash sim utakula miaka 30 na mtu akileta simu kuiflash wanatakiwa waziorozeshe majina .. Sasa mimi naenda kuziflash Kenya afu nazileta bongo
Watawekaje Kumbukumbu kuonyesha kuwa Mgt ndiye aliyezi-flash?
 
Back
Top Bottom