Makomandoo wa Korea Kaskazini wamewasili Burkinafaso

Makomandoo wa Korea Kaskazini wamewasili Burkinafaso

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
649
Reaction score
903
Ndege ya kijeshi ya Korea Kaskazini aina ya J- 35A kizazi cha 5 iliotengenezwa nchini China imewaleta makomandoo 700 welevu na weledi nchini Burkinafaso kwaajili ya kuimarisha ulinzi wa Rais wa Burkinafaso kapteni Ibrahim Traore.
Aidha, makomandoo hao pia watashughulikia masuala ya ugaidi kaskazini mwa Burkinafaso upande ambao kuna vikundi vya kigaidi vinayotishia serikali ya Burkinafaso.
 
dah nashkuru Mungu ulinzi kwa Traore unaongezeka.. eeh Mwenyezi Mungu nakuomba umlinde Traore kwani ndio mfano wa kuigwa aliyehaii kwa sasa.. 🤲🏽
Upo sahihi na hofu ya watesi wake ni kuona sumu ya Traore inasambaa Afrika mzima,jasho linawatoka!
 
dah nashkuru Mungu ulinzi kwa Traore unaongezeka.. eeh Mwenyezi Mungu nakuomba umlinde Traore kwani ndio mfano wa kuigwa aliyehaii kwa sasa.. 🤲🏽
Upo sahihi na hofu ya watesi wake ni kuona sumu ya Traore inasambaa Afrika mzima,jasho linawatoka
 
Haka kakobaz mnaendelea kukamwagia sifa za kijinga ilhali hamna alichokifanya zaidi ya mapambio yake anayoyaimba halafu na nyie mnayarudia kama kasuku.
Mna kaharibu zaidi, maana kikubwa naona ni kuuza sura na magwanda kwenye mitandao ya kijamii
 
Kwa hiyo huyo unamfananisha na kibaka na tapeli Luto 😁😁😁 huyo kwa kitendo chake cha kukataa upumbavu wa kujengewa misikiti nchi nzima kinaonyesha siyo kobazi mpumbavu ...maana makanisa na misikiti ni upuuzi tu wa wapuuzi.....dini ya haki siyo kanisa wala msikiti ni uhadilifu moyoni na matendo mahadilifu.
 
Back
Top Bottom