Makomandoo wa Bongo

Komandoo ni komandoo tu



Ache Hashish nyie.
Hizo Movie za kubumba Zisiwaharibu vichwa.
Hao Wanaoitwa Makomandoo mbona hawapelekwi Iraq au Syria Kumaliza Hizo Vita?
Leo mwaka Wa 13 Vita ndio kwanza zinapamba moto.
Wanajeshi wa Kimarekani Zaidi ya 20,000 wamerudishwa kwao kwenye mifuko ya Rambo.

Wapeleke basi kina Rambo km hawajamba bila break!
 
Samahani na reaction yangu ya kucheka, maana miaka yenu haikuwepo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…