Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Mucus huzalishwa kwenye mapafu kama sehemu ya kuulinda mwili. Uchafu unaoungia mwilini kwa njia ya hewa huzuiwa na mucus na hutolewa nje kwa kikohozi au mafua.
Mucus hii ilibidi mwilini hukera sana. Vyakula vinavoongeza uzalishaji wa mucus na kukera hasa wagonjwa wa kifua mshipa nyama nyekundu, maziwa, mayai, siagi , cheese, ice cream, mahindi,
Kama unajijua unasumbuliwa na shida hii ongeza ulaji wa samaki, limao, vitunguu , cabbage