amani kaseko
Member
- May 16, 2013
- 65
- 30
...Nauza makochi(sofa) kitambaa na rangi: Leather nyeusi.. Ni set nzima yaani makochi madogo mawili, kochi la watu wawili na kochi kubwa la watu watatu..Yapo kwenye conditions nzuri sana.. bei ni laki sita (600,000)..kwa anayehitaji anaweza kunipm nikamtumia Picha via whatsup....Namba yangu ni 0713 590607..Asanteni