Jamani ninatatizwa kidogo kuhusu awa walimu wa soka katika ligi za Spain,Italy na UK, je ni kweli wanafundisha soka ama ni wataalamu wa ku-assemble good pofessional players?