frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Jana nilikuwepo uwanja wa Taifa wakati Yanga na Jkt ikicheza kwa 5 na 1 jkt
Ni mwanachama makini wa yanga, kilichonishangaza ni pale tulipokuwa tunatoka nje kikundi cha yanga burudani/ matarumbeta kilikuwa kinaimba nyimbo zake sijui....
"Kaseja rudi simba unaujumu yang..... na mengi"
Shabiki kama watatu hivi wa yanga wakaanza kuwatukana wanaoimba, sasa vagi likaanza kuwa kubwa kati ya yanga fans hao kwa gumi na maneno makali
Kisa nini
~ Moja wanasema kaseja asiimbwe vibaya na kikundi hicho.
~ Wengine wanasema bora Dida kuliko Kaseja
Bonge la mtafaruku likatokea n.k (kazi yangu ilikuwa ni kuamua tuuu) amani ikatulia
SASA KAMA WEWE NI SHABIKI, MPENZI N.K. Je Kaseja Yanga ni tatizo!?