Adharus hujanijibu. baada ya sheria kupitishwa makinikia yanakuwa ya nani? Acacia c walikiuka makubaliano Kwa hiyo n wezi jee kama tumewakamata wezi wetu Mali iliyokamatwa n ya nani. ? isijekuwa kama fedha za escrow huyu anasema za umma huyu anasema za Ruge.Ha ha nazani ule utafiti wa kila watu wa nne mmoja ni kichaa ni kweli na huu ugonjwa wanao sana upinzani.. Ishu ya makinikia ilisemwa kwanini yamezuiwa.. Sababu iko wazi makubaliano yamekiukwa, Mosi kiwango cha madini yaliyopo katika contena la makinikia.. Walidai zipo aina Tatu tu, na dhahabu ni 0.5, lakini kilichokutwa sio hiko.. Ndio maana mwenye BARICK alikuja bongo..
Unashangaa mtu anaandika tu kujaza JF
mi sidhani kama unaelewa maana ya mkataba!!.. hlf mnalaumu serikali ya tano hivi yenyewe ndo ilisaini hiyo mikataba..? mnataka sheria ya sasa iingie kwenye mikataba ambayo imeshasainiwa it means kuuvunja hizo gharama zikilipwa kwa kodi zetu si tutalalamika tena!..Mzee aliishiwa pumzi akatafuta kiki ya makinikia sasa yupo kimya..maji ya shingo.Eti Sheria mpya haihusu mikataba ya zamani. Ni kichaa gani atakuja kuwekeza Tanzania kipindi hiki cha "bulldozer"?
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Za asbh wadau.
Naomba mnisaidie kuliweka sawa hili jambo kuhusu rasolimali zetu.
Mara baada ya kupitishwa sheria mpya jee
1. Yale makinikia ni yetu au yao?
2. Ile dhahabu inayosafishiwa machimboni kama north Mara Buzwagi na kwingineko inakuwaje.
3. Ile mikataba tuliyoambiwa ni ya kinyonyaji ishafumuliwa au mchakato wa kuifumua uko kwwnye sheria hz mpya.
Vinginevyo nitashukuru sana Kwa kunielimisha na kunisaidia
ili tuweze kushikiana kulindabrasilimali zetu . asante
Hahahah... Gwiji la kikinawasikitikia wapumbavu watakao danganywa na JPM
Ukumbuke kwamba Aina za madini na kiwango kilichopo kwenye makinikia ulikua unathibitishwa na TMAA na ndio waliokua wanatoa kibali baada ya kucheki.Ha ha nazani ule utafiti wa kila watu wa nne mmoja ni kichaa ni kweli na huu ugonjwa wanao sana upinzani.. Ishu ya makinikia ilisemwa kwanini yamezuiwa.. Sababu iko wazi makubaliano yamekiukwa, Mosi kiwango cha madini yaliyopo katika contena la makinikia.. Walidai zipo aina Tatu tu, na dhahabu ni 0.5, lakini kilichokutwa sio hiko.. Ndio maana mwenye BARICK alikuja bongo..
Unashangaa mtu anaandika tu kujaza JF
Kinachotakiwa kufanywa ni kuwafungulia mashitaka na kuwafunga watanzania wenzetu ambao walikua wanapima na kutoa taarifa za urongo!!!Ukumbuke kwamba Aina za madini na kiwango kilichopo kwenye makinikia ulikua unathibitishwa na TMAA na ndio waliokua wanatoa kibali baada ya kucheki.
Kwahiyo si kweli kwamba Acacia walikua wanadanganya.. Kama urongo basi ulikua unafanywa na watanzania wenzetu.
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kweli IQ yako iko chini mno.kwani hujui ACACIA walikua wanashirikiana na maafisa wa TMAA kutuibia?sheria zinasemaje ukishirikiana na mwizi?Ukumbuke kwamba Aina za madini na kiwango kilichopo kwenye makinikia ulikua unathibitishwa na TMAA na ndio waliokua wanatoa kibali baada ya kucheki.
Kwahiyo si kweli kwamba Acacia walikua wanadanganya.. Kama urongo basi ulikua unafanywa na watanzania wenzetu.
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app