Makinikia: Nilisema..Na ninasema!

Ataungwa mkono na wapuuzi wenzio
 
Accasia hawajaiba , Bali watanzania ndo tumeibiana wenyewe kwa kuuza nchi kwa wazungu. Tungesema tumeibiwa kama Taifa tusingekuwa na taarifa yoyote ya uchimbaji Wa hizo rasilimali. Lakini Taifa linajua na taifa ndo limeizinisha uchimbaji , sasa unawezaje sema unaibiwa??
 
Hata ungeunganisha akili za ukoo wako wote hufikii nusu ya akili za Lissu.
Hahaha ni kweli mzee wa miga aka tutafungwa badala yake ni neema juu ya neema sio mchezo.

Yule ajikite kwenye case za kuku na uchochezi tu mambo mengine ameonesha ni namna gani alivyo na ombwe nono kichwani.
 
Only God and time - watanzania tunamwombea JPM
 
Serikali na wanaume wa Canada daaah ya kaisali mwachie kaisali mi nafunga na kusali
 
Walikuambia usaini mkataba we bado unawaita wezi wakati Baba yako juzi kawaita vidume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…