Makinikia: Nilisema..Na ninasema!

Hoja yako ya mahakamani ifungulie Uzi wako..usifosi mfanane kifikra na mtoa mada!
 
Akili zimeanza kukurudia msukule wa Lumumba vipi mwenyekit wenu anaposema nchi yenu ni tajiri sana na tutaanza kuwakopesha wazungu
 
Bandiko lako ni jema sana, je umejiuliza kama wako tayari kuacha kupeleka miswada ya kihuni na kupitishwa kihuni bungeni? Ni wakati wa wabunge wetu hususan waliowengi aka wabunge wa CCM kuanzia sasa kusema hapana kwenye kupitisha miswada inayooigharimu Taifa kihunikihuni tu kupendeza Watawala.

Wajitathmini kama kweli wanayohaki ya kuitwa wahehimiwa wakati wanapitisha mambo kihuni kihuni bila hata kulionea huruma Taifa.Ni bora ukose ubunge lakini upate la kujisifia kwamba ulipoteza ubunge sababu ulikuwa unalipigania Taifa.
 
Naona unapiga u turn kwa mbali baada ya kutoka kudai Noah mpaka balimi ndogo 6!
 
Naona unapiga u turn kwa mbali baada ya kutoka kudai Noah mpaka balimi ndogo 6!


Mimi siyo Nyumbu, sijashikiwa akili na Binadamu yoyote yule, ninatoa maoni yangu kwa uhuru na jinsi nionavyo inafaa, na siyo kama chadema wote mmeshikiwa akili na Mbowe, akisema kushoto mnafwata, akisema kulia mnafwata, adui yake ni adui yenu, rafiki yake ni rafiki yenu, mimi siko hivyo nina maisha yangu na natetea ninachokiamini!

Mbowe anamchukia Mkuu wa Mkoa wa Dar wote na nyie mnamchukia, Mbowe anamchukia J.Muro wote na nyie takataka mnamchukia J.Muro pia, Mbowe anamchukia Raila Odinga wote na nyie Raila Odinga kageuka adui yenu, halafu Mwanaume mzima unakwenda nyumbani eti na unaitwa Baba, Baba unashikiwa akili na Mwanaume mwenzio, shiiit!
 

Aliye kuambia Matajiri kuliko wote nani!

Utajiri wa nchi ni Rasilimali zake
Tunathubutu kusema tena kwa kifua mbele Sisi matajiri
Babeli, Malumumba buku 7 yanaparurana yenyewe.
 
Tuachane na hawa acasia ama wawe minority shareholder,tuchimbe sisi wenyewe,actually prezo yuko right,
tatizo approach bado iko inasumbua
 
Babeli, Malumbuka buku 7 yanaparurana yenyewe.


Ndiyo shida ya kushikiwa akili na Binadamu mwenzako, kwa kuwa wewe Mbowe kashika akili zako, kukuamulia na kukuchagulia rafiki na adui unafikiri kila mtu yuko hivyo? Uko hapa kuwagawa watu na kuwachagulia upande, unafikiri kila mtu ni Nyumbu kama wewe?

Mimi niko peke yangu kwanza kwa taarifa yako sina Chama na hata kura sijawahi kupiga tangu nizaliwe na sitokuja kupiga lkn namkubali Raisi wangu na niko tayari kumpigania!
 
Mara hii mmeanza kumpingana na rais ambaye kila siku anasema Tanzania ni tajiri.


Mimi siyo Nyumbu kama wewe na wala sijashikiwa akili na Binadamu kama wewe ulivyoshikiwa na Mbowe, nina msimamo na maoni yangu kulingana na uelewa wangu wa mambo!
 
Yaani wanaume na akili zetu,tumuunge mkona uyu ropo ropo wa kuropoka??? Be serious mkuu
 
Mimi siyo Nyumbu kama wewe na wala sijashikiwa akili na Binadamu kama wewe ulivyoshikiwa na Mbowe, nina msimamo na maoni yangu kulingana na uelewa wangu wa mambo!
Unafikiri mimi ni MbwaKoko wa Lumumba kama wewe unayeshikiwa akili na Chakubanga.
 
Maneno Kama haya mwambie mtakatifu...
 
Tatizo upinzani inaongozwa na akili finyu wakina mange na sepenga na lissu bush lawyer
 
Mmefirisi nchi na mikataba ya usiku mnatuletea maigizo ya uzalendo? Hamna lolote wezi wakubwa nyie. Hata mbadilishe rangi ya nguo tunawafahamu kwa umbo na sura. Mkitajiwa ufisadi wenu mnabadilisha matumizi mnasema hiki ni cha Jeshi msikijadili? Badilisheni na nyumba za serikali mlizogawia hawala zenu ziwe kambi za Jeshi tusiseme tena.
 
Unapoanza kuwaita binadamu takataka unakuwa mpumbavu Wa kiwango kikubwa, we demu tu kama demu Wa danguro acha upuuzi Wa kikahaba Wa kuona wote wanafanana na unaiwavulia nguo mchana na usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…