Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,079
Reaction score
831,715
Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu kasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!

Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!

KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...!

Mateka wa kiroho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!

Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako

Tamaa ya mara moja inaweza kusambaratisha familia yako

Tamaa ya mara moja inaweza kupoteza kazi yako

Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema

Tamaa ya mara moja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...

Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!

Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
 
umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
 
Wengine huwekewa mafisi
 
Wanaume wanarogwa sana, ni watu wa kuwaonea huruma tu....

Mshana hivi manii zinazohitajika kumroga mwanaume ni zile fresh kutoka kwenye kichupa au hata zikishaingia nikazichota kwenye kakisima kangu zinafaa?
Inategemea na mganga.. Ila kama unataka kufungamana naye basi zile zinazotoka kwako ndio zenyewe ILA kama unataka kumfanya mtumwa basi hizo za 'kichupa' ndio zinafaa
 
umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
Duuh,! Mkuu!! Hii nayo Kali , ngum kumeza ila inashangaza Sana!
Kwa story yko inamaana Hawa watu hawawezi pata HIV, STI na HEPATITIS B&C hata Kama wakishrik na waathika wa magonjwa hayo?

Cdhan ! labda Kama walilopoka ili wakutishe kua Wana via vya uzazi tofauti na kawaida ya mwanamke!
 
Back
Top Bottom