Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Unless kama alikuwa anatania bse huyu kwenye mbio za mwenge Njombe aliwai toa tamko kuwa hakuna haja ya kuwasafisha mafisadi sasa alimaanisha wanaotembea na waume za watu?
Bila shaka Kuna matatizo kwenye kichwa cha huyu mama si bure!!
Atigi
mie kiswahili tu kimenitatiza. 'Hakufaa' kwani wadhifa wake wa uspika ushaisha?
Hakufaa kuchaguliwa kuwa spika au hafai kuwa spika ..........
Atigi kaka nimekuelewa
hakuna lazima ya kubadilisha, ujumbe kwa wengi nafikiri unafika japokuwa mvuto kwa wapenda usahihi unapungua.
Anne Makinda hakufaa kuwa Naibu Spika na sasa hafai kuwa Spika