Seriously, viongozi wanaotumia escot ya polisi wamekuwa wengi na bahati mbaya wanaishi upande mmoja wa jiji. Labda msafara uwe mmoja ubebe wote kwa mara moja siyo kila baada ya dakika chache mmefukuzwa barabarani au kusimamishwa kwa muda mrefu eti kuna kiongozi anasubiriwa apite