Hii mijitu hovyo kweli, utasikia October imechagua tena mbunge WA CCM! Huku kwetu Kilimanjaro tunachagua upinzani na bado Barabara za lami zinajengwa! Hebu cheki:
1.Bomang'ombe Sanya Juu lami
2.Kwa Sadalla-Masama-Machame lami
3.Machine-Tools-Machame lami
4.Kibosho Road- Umbwe Lami
5.Shantytown-Kirima lami
6.Kcmc-Mweka lami
7.Rau-Uru Njari lami
8.Rau-Uru Mambo leo lami
8.Kawawa Road-Kirua Vunjo lami
9.Himo-Marangu Mtoni lami
10.Marangu-Kilema lami
11.Marangu-Mwika lami
12.Kilacha-Mwika-Rombo-Tarakea lami
Na hizo Ni Barabara za vijijini kabisa nyingine zinaunganisha kata na kata.
tuazimeni moja.October tutawarudishiaHii mijitu hovyo kweli, utasikia October imechagua tena mbunge WA CCM! Huku kwetu Kilimanjaro tunachagua upinzani na bado Barabara za lami zinajengwa! Hebu cheki:
1.Bomang'ombe Sanya Juu lami
2.Kwa Sadalla-Masama-Machame lami
3.Machine-Tools-Machame lami
4.Kibosho Road- Umbwe Lami
5.Shantytown-Kirima lami
N6.Kcmc-Mweka lami
7.Rau-Uru Njari lami
8.Rau-Uru Mambo leo lami
8.Kawawa Road-Kirua Vunjo lami
9.Himo-Marangu Mtoni lami
10.Marangu-Kilema lami
11.Marangu-Mwika lami
12.Kilacha-Mwika-Rombo-Tarakea lami
Na hizo Ni Barabara za vijijini kabisa nyingine zinaunganisha kata na kata.
View attachment 243293View attachment 243300
Hii barabara ni kiwango cha matope/udongo ingekuwa moram magari yasingekwama. Hivi kwa nini serikali yetu sikivu haitengenezi barabara angalau kwa kiwango cha moram kama lami imeshindikana?
Ujinga wa wakinga huu sijui walilogwa na nani.Hii mijitu hovyo kweli, utasikia October imechagua tena mbunge WA CCM! Huku kwetu Kilimanjaro tunachagua upinzani na bado Barabara za lami zinajengwa! Hebu cheki:
1.Bomang'ombe Sanya Juu lami
2.Kwa Sadalla-Masama-Machame lami
3.Machine-Tools-Machame lami
4.Kibosho Road- Umbwe Lami
5.Shantytown-Kirima lami
6.Kcmc-Mweka lami
7.Rau-Uru Njari lami
8.Rau-Uru Mambo leo lami
8.Kawawa Road-Kirua Vunjo lami
9.Himo-Marangu Mtoni lami
10.Marangu-Kilema lami
11.Marangu-Mwika lami
12.Kilacha-Mwika-Rombo-Tarakea lami
Na hizo Ni Barabara za vijijini kabisa nyingine zinaunganisha kata na kata.
Wahehe utadhani wana akili za kuazimaMafinga to Mufindi inakotoka chai ya TATEPA ile barabara ni shida., Mbao zinavunwa huko semitrella unaziona dar zinatokea huko msimu wa mvua gari hazifiki. Mbunge wa ukanda huo kimya tu, wilaya mufindi yenye pato kubwa kitaifa miundombinu ya usafgirishaji haijengwi kwa viwango vya lami, why!? Tangu Kajima waondoke 1992 ni hali mbaya sana barabara
zile barabara ni za asili..ukiweka lami miti haitastawi ......si unaona hata national park hawaruhusiwi kuweka lami watafukuza wanyama?Mafinga to Mufindi inakotoka chai ya TATEPA ile barabara ni shida., Mbao zinavunwa huko semitrella unaziona dar zinatokea huko msimu wa mvua gari hazifiki. Mbunge wa ukanda huo kimya tu, wilaya mufindi yenye pato kubwa kitaifa miundombinu ya usafgirishaji haijengwi kwa viwango vya lami, why!? Tangu Kajima waondoke 1992 ni hali mbaya sana barabara