da kuna haja ya kwenda huko maana nikiwangalia totoz wa Ambassadeur Choir nachanganyikiwa,na nimeambiwa hao ni cha mtoto wamekaa kilokole ,nimeambiwa wale wa mujini ndio balaa ,kwa kudumisha Jumuia ya Afrika Mashariki lazima nijimuvuzishe huko,kwani Jumuia sio kwa mambo ya ''kiuchumi na kibiashara tu hata maingiliano ya watu'' bana mnafikiri Museveni mjinga aliona mbali,totoz za Kitusi numeri wani