Hivi unajua mnywaji au mlevi akianza kutetea kinywaji chake anavyokuwa makini kuchagua hoja zenye mashiko na ushawishi?Ni hiyari yako kusikiliza na kumfuata au kumpinga kwa hoja.Na amini nakuambia,hakuna mnywaji wala mlevi ambaye ukimuuliza kama uanze kunywa pombe au laa? Lazima atakuambia usinywe ni mbaya.Make it clap to the brodas'Bravos to wanywaji!πππππ