Make eid a public holiday in uk

Hujui kusoma? Nimekuambia nimeolewa mke wa nne, mie ndo bi mdogo. Mie nawasupport kama wewe. You are my role model you know?

i have 6 kids, naijaza dunia. Sasa si uongee lugha yako ya pili?
 
Hujui kusoma? Nimekuambia nimeolewa mke wa nne, mie ndo bi mdogo. Mie nawasupport kama wewe. You are my role model you know?

i have 6 kids, naijaza dunia. Sasa si uongee lugha yako ya pili?

ﻫﻞ ﻫﻮ ﻓﻘﻂ ﺯﻭﺝ ﻭﺍﺣﺪ ﻳﻌﻄﻴﻚ ﻫﺆﻻء ﺍﻷﻃﻔﺎﻝ؟ ﺃﻭ ﻫﻮ ﻣﻦ ﻣﺨﺘﻠﻒ ﻣﺎﻥ. ﻭﺃﺗﺴﺎءﻝ!
Hio ni lugha yangu ya pili.
 

By a christian sociaety i mean a politically, as in having Xmasses where people don't go to churches but rather do othre stuffs. It's the reality that moslems and hindus care about religion than christians here, BUT politically conservatives wont like that to happen
 

فلا بد أن يتحير ويتحرك لهذه اللغة
شكرا لك أيها الدكتور كحتان
Na ndo lugha ya ibada ulimenguni kote hakuna mfanowe.

Ahsanta.
 

ﻳﺎ ﺑﻠﺪﻱ ﺁﺑﺎﺭﺍﹰ ﺷﻘﻴﻖ! ﻭﺃﻭﺩ ﺃﻥ ﻳﻌﺮﻑ ﻫﺬﻩ ﺍﻟﻜﺎﻓﺮ ﺍﻟﺬﻱ ﺍﻟﻠﻪ، ﻟﻜﻦ ﻣﻦ ﺍﻟﺼﻌﺐ ﺟﺪﺍﹰ ﻟﻠﺪﻣﺎﻍ ﻓﻬﻢ
 

Verily as soon as possible by the ALLAAH'S helper it must be happened in da all world wide.
 
Make it happen please.

We have over 46,000 votes so far.

Wewe kahtaan ni mgonjwa.. kwani jf hipo kwaajili ya kushabikia mambo ya kigaidi? alafu wewe ulisema uk wameuza makanisa wamesilimu sasa mnakosaje saini 100000?
naomba utuache tuko busy kuitokomeza boko haram naijeria!
 

بعزته(الل&#1607😉 وبجلاله نرجوا ان نحول الحال إلى احسن الحال(الإسلا&#1605😉
 
Wewe kahtaan ni mgonjwa.. kwani jf hipo kwaajili ya kushabikia mambo ya kigaidi? alafu wewe ulisema uk wameuza makanisa wamesilimu sasa mnakosaje saini 100000?
naomba utuache tuko busy kuitokomeza boko haram naijeria!

Teh teh teh!

Na mimi nakuona uko NAIJERIA ya kwedikwazu.

Makanisa tunanunua kama kawaida na uzi huu lengo hasa SIO kutafuta kura!

Lengo ni kuchoma roho za wagalatia !
Na wewe roho yako imesharuka tayari!

Teh teh teh!
 

Vyovyote vile..... (ubaya aliofanya mwingine haupunguzi au kufuta kosa la mwingine) Nina maana LRA waliua kwa kisingizio cha dini na pia wengine uliowataja hawakubaliki na mtu yeyote ambaye anatumia vizuri uwezo wake wa kufikiri.... Hivyo kwa muungwana yeyote yule hawezi kukubaliana na unyama wanaofanya BoHa dhidi ya watu wa imani nyingine. Pia hata kule Jamhuri ya Afrika ya Kati wale wanaojiita wakristo na kuwaua waislam au hata wengine ambao si wa imani yao nao pia hawakubaliki....

Ngoja nikuambie kahtaan Kwa upande wa Biblia wale wote ambao wanajiita wakristo lakini wanafanya mambo ambayo hayaendani au yanashutumiwa wazi wazi na maandiko ya kwenye biblia hao si wakristo wa kweli.... hata kama ni mashuhuri au ni wengi kiasi gani kama hawafuati kanuni za Mungu zilizo kwenye biblia hao ni wakristo wa uongo..... na hata Yesu ''anasema si wote waniambiao bwana bwana wataurithi ufalme wa Mungu...... bali wafanyao mapenzi ya Mungu ndiyo watakaourithi...... wengi watakuja kwa jina langu na kufanya ishara kubwa kubwa...... lakini yeye atawakana na kuwaambia ondokeni kwangu ninyi watenda maovu....." Hivyo usifikiri kuwa kwa sababu ile ni dini kubwa au yule ni kiongozi mkubwa wa dini...... kama hafanyi kulingana na sheria na kanuni za Muumba..... Yesu anasema atawafukuza.... atawakana.......

Hivyo kahtaan cha msingi ni sisi mmoja mmoja kuangalia tunavyoishi.... pia kuangalia kama maisha yetu ya kila siku katika kila nyanja yanafuata kanuni na sheria za Muumba.

Ni mtazamo wangu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…