maguzumasese2005
JF-Expert Member
- May 1, 2014
- 642
- 171
Wenzako wanajitahidi kueneza kiswahili na uswahili duniani kote...... wewe unajigamba kueneza uarabu na kiarabu.... desturi za kiarabu......
Kweli Mohamad alifanya kazi ....... maana ukoloni alioueneza unapiganiwa na mazuzu kwa gharama na namna yeyote.....
Ninyi hamjui kuwa dini yenu ina madoa ambayo hakuna awezaye kuyafuta........
Du hatari...... hadi vyakula ni vya uarabuni..... sasa wengine wasukuma wamezoea nguna, wamasai roshoroo, wanyakyusa mbalagha, wachaga machalari, wamakonde samaki nchanga, wahehe kande sasa itakuwaje nyie watu wa Mohamad mkituletea haluwa yenye faluda......
Halafu lingine ambalo ni la msingi...... nakuomba sana...... Tafadhali ongea na yule kiongozi wa BoHa awaachie wale watoto .... sisi wazazi tunaumia moyoni sana na tuna huzuni sana kwa kitendo hicho cha kuwateka na kupanga kuwauza. Muombe na umuambie kuwa ALLAH atamthawabisha kwa kuwaokoa hao watoto....ambao hawajui vita wala siasa wala dini wala serikali......
Mkuu hilo ndilo ombi langu
"When you are in Rome do what the Romans does" IS A GALATIAN POLICY
We Muslims are NOT HERE TO PLEASE ANYBODY EXCEPT GOD ALMIGHTY.
We told the BNP, CRUSAIDERS , KKK and the rest! To BRING IT ON!
We ain't scared for NOBODY! and we ain't cowards like GALATIANS! Bending backwards to get what they want.
Huku WEST tutachukua kila kilicho haki yetu!
Hatubembelezi yale ya HAKI! Na imani yangu inaniambia kuwa ARDHI YOTE NI YA ALLAH!
Iwe TZ au Detroit! Zimbabwe au Kansas city! Kinshasa au London.
Na tukitakacho kama sio leo HATA KESHO KITAPATIKANA!
Sisi Sio wakristo wa kufanya kila anachokitaka MCHUNGAJI!
Hukumu ya kufuatwa ni ya ALLAH PEKE YAKE!
Hata kama Washikina watakasirika.
At-tawba
9; 33
هُوَ الَّذِي أَرْسَلَ رَسُولَهُ بِالْهُدَىٰ وَدِينِ الْحَقِّ لِيُظْهِرَهُ عَلَى الدِّينِ كُلِّهِ وَلَوْ كَرِهَ الْمُشْرِكُونَ
Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ipate kushinda dini zote, ijapo kuwa washirikina WATACHUKIA.
And yet you wonder why people are reluctant to associate with the likes of you... (and let me remind you the likes of you, I don't mean the people of faith but the extremists..)
There is an e petitions which requested anybody to sign an e-petition to make EID an official Public Holiday In BRITAIN.
If anyone wants to sign the petition please click the link below and follow simple instructions.
We need 100,000 signatures before August this Year.
Thank you
Make Eid & Diwali Public Holidays - e-petitions
There is an e petitions which requested anybody to sign an e-petition to make EID an official Public Holiday In BRITAIN.
If anyone wants to sign the petition please click the link below and follow simple instructions.
We need 100,000 signatures before August this Year.
Thank you
Make Eid & Diwali Public Holidays - e-petitions
Ninachojua Obama, Bush jr, Blair nk wamefanya mabaya. lkn Nina uhakika hawajatumwa na Allah na wala hawajasema kuwa wametumwa naye. Wametumwa na ubinafsi wao au ushetani wao. Na sisi wapenda haki na usawa tunawalaani hata kama hatuna uwezo wa kuwazuia kuua watu wasio na hatia.
Sasa hawa BoHa wanasema wametumwa na Allah. Na wanasisitiza.
Pia kingine ni kuwa jina LA Allah likitajwa tu, hapo hamna utani..... Ni Lazima watawauza tu. Huo si mkwala. Watafanya kweli.
This is for UK residence only! Or even if you have relatives in UK and you know the Address YOU CAN SIGN TOO!
.Thanks
Teh teh teh!
Dont you know "extremists" is my middle name??
I get use to that!
Knock yourself out!
So we forge by putting in our relatives' address? Isn't forgery a sin? Lets pray that God hears and melt the hearts of the rulers.
Mie tayari nimewambia nipo huku Karatu.
You need to read through the line missy Eliot!
That was to sign ON BEHALF of your relatives in UK (if you have any).
and be specific here! What is that prayer for!?
Hahaha the lines are just too wide fellow missy eliot, and my big pretty eyes aint seeing nothing. Why on behalf, none of my siblings have gone through the western education, so they all live right here with me in the east, lol.
yaani hujajua what prayer hata sasa? You shld read above the lines now, huh!
While i reside here and would respectfully agree to Moslems given more religious freedom, this is a long stretch,as UK is notoriously a christian society.This is for UK residence only! Or even if you have relatives in UK and you know the Address YOU CAN SIGN TOO!
.Thanks
While i reside here and would respectfully agree to Moslems given more religious freedom, this is a long stretch,as UK is notoriously a christian society.
Especially with the EU referendum pushed by UKIP at the moment this will only fuel the conservatives to close more doors to this great nation.
And i could sense conservatives pointing out that in Moslem countries religion freedom is not given to non moslems let alone public holidays.
That makes you and your siblings a good followers of boko haram.
They will loove those big pretty eyes of yours!
You might ending up being a queen!
Give them a call! Will ya!
Brush up your english first banaa, aaagh!
im married mke wa 4, ndo nimefunga nyumba. Boko haram wananisikia tu. Wakiniteka watamuudhi Allah