johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,537
- Thread starter
-
- #41
Niko Usseri nagonga mbege kama kawaida.Wewe mlevi, mbona unaumia Sana na cdm isiyokuhusu? Yaani ukilala, ukiamka, ukigeuka ni cdm tu as if inakulisha na kukuvesha! Hunaga hoja nyingine zaidi ya cdm?
Anyway, hakuna teuzi mpya ndani ya ccm chakavu kwa Sasa na hata zikiwepo huwezi pewa ni Bora ukageme ulanzi kule kwenu!
Lete ufupisho wako bwashee!Halafu anatunga ufupisho wenye harufu ya ukabila,"MACHAGA"
MAke CHAdema Great Again!What do you mean when you write MACHAGA to present specific political party?
Hakika kisicho rizki hakiliki........ kisicho halali hakiliki
Mama D Happy 'new yearHakika kisicho rizki hakiliki
Happy New my broMama D Happy 'new year
NONSENSEMAke CHAdema Great Again!
Ufipa tunayo mantiki!NONSENSE
Happy new year kamanda wa Ufipa!Ngoja nisubiri kupiga mchapalo hapa chato na wageni wa kitaifa na kimataifa.wewe endelea kupiga umbeya.
🙏🙏🙏 AminHappy New my bro
2021 iwe mwanzo wa mafanikio mapya💥
Kumbe!CDM was great, is great and will ever stay great! Keep on deceiving yourself that you wanna it be great now!
Msimu wa mbege huu.Huu ni mwaka wa kukirudisha chama kikuu cha upinzani CHADEMA katika viwango vyake kama alivyoiacha Dkt. Slaa.
CHADEMA ni wapinzani wa kweli tuwaunge mkono.
Make CHADEMA Great Again ( Machaga)
Happy New Year.
Maendeleo hayana vyama!
KECHAGRE (Keep Chadema Great) is the correct one because the party is already a great one under Mbowe & Lissu.Huu ni mwaka wa kukirudisha chama kikuu cha upinzani CHADEMA katika viwango vyake kama alivyoiacha Dkt. Slaa.
CHADEMA ni wapinzani wa kweli tuwaunge mkono.
Make CHADEMA Great Again ( Machaga)
Happy New Year.
Maendeleo hayana vyama!
Lisu aliyekimbilia ubalozi wa Germany?KECHAGRE (Keep Chadema Great) is the correct one because the party is already a great one under Mbowe & Lissu.
Hahahaaaa...... Machaga bhana!Hatuka kitu kinaitwa MACHAGA...nyie ndio MATAGA
Usitujengee hoja mfu za MACHAGA,takataka nyie
Bwashee mbege haina msimu ni mwaka mzima!Msimu wa mbege huu.
Nimeshangaa sana eti kuna watu wamekupa like, kwa useng huu.Hivi mnikumbushe tena CHADEMA ndo mdudu gani vile. Kama mwaka huu nimekuwa nasahausahau tena. Ila kwa kumbukumbu zangu, ni kama mdudu flani hivi anafanana ma findofindo
Ya bombardierStand gani?