johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
Usseri!Unaripoti kutoka wapi
Chama Dola ni kimoja tu CCM.CHADEMA kinapitia recycling process kikivuka salama huu mchakato basi kitakuja kuwa chama dola miaka michache ijayo.
Bwashee sasa hivi si ulitakiwa uwe pale Mashima unapokea mwaka mpya, unafanya nini hapo ofisi za Lumumba??Usseri!
Bwashee niko Usseri Rombo nakula sikukuu!Bwashee sasa hivi si ulitakiwa uwe pale Mashima unapokea mwaka mpya, unafanya nini hapo ofisi za Lumumba??
Mtateseka sana ata uyo anaye wabeba ange wabeba adi tumboni kwake hamtafika kokote kisicho halali hakilikiBwashee niko Usseri Rombo nakula sikukuu!
Wewe unabebwa na Ufipa!Mtateseka sana ata uyo anaye wabeba ange wabeba adi tumboni kwake hamtafika kokote kisicho halali hakiliki
Tunataka turudi kwenye viwango vya Dr wa ukweli!Unasumbuliwa na mapepo wachafu
Bwashee Tanzania ni moja vyama vya siasa vitapita lakini Tanzania itabaki!Mleta mada ni MATAGA hamjamshtukia tu
Kisicho halali hakidumu juwa hivyo tu ata ange waweka kwenye tumbo lake mtachomoka tu suala la mudaWewe unabebwa na Ufipa!
Make Chadema Great Again!
Hawa wahuni walishajifia,Huu ni mwaka wa kukirudisha chama kikuu cha upinzani Chadema katika viwango vyake kama alivyoiacha Dr Slaa.
Chadema ni wapinzani wa kweli tuwaunge mkono.
Make Chadema Great Again ( Machaga)
Happy New Year.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Huu ndio wakati wao wa kufufuka!Hawa wahuni walishajifia,
Ukitaka halali nenda Kanisani kwenye siasa hutaipata popote duniani!Kisicho halali hakidumu juwa hivyo tu ata ange waweka kwenye tumbo lake mtachomoka tu suala la muda
Ohhh hahaha haiwezekani tingatinga lilishavuruga hilo kaburiHahahaaaa...... Huu ndio wakati wao wa kufufuka!