Makavu live

Makavu live

Nimekuwa najiuliza sana kwanini siku hiziWanawake wamekuwa Vichechebalaa....Hawatulii...Sio kama zamani...Nanimepata jibu sasa....Sio kosa lao walaNI KOSA LETU WANAUMEHawatulii kwa sababu HATUWATULIZIZamani ilikuwa rahisi kusikia Wanawakewakihadithiana "Yaani My Man ananiduumpaka natamani nikimbie kitanda"..Siku hizihizo stori utazisikia mara 1 kwa miaka3...

Wanaume Kazi kushnehi Tunawapa shida Wanawake...Hata walioolewasiku hizi ndo maana wanakimbilia nje kutafuta pumziko. Zamani ilikuwa nadra sana Mke wamtu kuliwa nje, ila siku hizi dakika 2tu...wanavumilia wanachoka...unamgusagusautadhani dadako huyo...Mpe vyombo aombePoo...KOSA NI LETU WANAUMEDakika 3 tu unatiririka na kibamia chako nambilimbi...Unakoroma...hujui mkeo yukonjiapanda ya GB au Mataa yaSayansi.

Unategemea nini??Endekeza tu Bia...Burger..BroilerChicken...Ukifika uwanja wa Taifa unapaishaPenatiMwanamke Mpe Vogue Mfungulie kilabiashara.. Muachie na ATM yako yenyeMabilioni ya EPA na KAGODA...Kama BedTennis unachemka atachepuka tuWanaume wa Kibongo nipigeni Mawe lakinitumeishiwa Sanaa ya Kitanda..Tunafikiritukihonga na kum-monitor yuko wapi na nanianafanya nini ndo Mahaba.

Ukipewa unarukia tu kama bata mzinga...Nje kifuakikubwa....unatinga suti..gari kaliii...Hayachakula hiki hapa baba kula...unaishiakusomola somola tu na kumchafua mdada wawatu anabakia anasonya kimoyomoyo..CHAgua moja mapenzi au kam huwezi achana nayoJifunze Mapenzi kwanza lasivyo ACHANANAYO
Wewe jamaa yangu noma sana kama sio mawe utapigwa mayai viza kabisaaaa
 
mkuu umeongea ukweli mimi nikafkiria pia na malezi pia yamechangia mmmh ila kazi ipo
 
Ni kweli ingawa sio kwa kila ulilonena km ndivyo wakienda kwenye wanagongwa na magari?
Ukweli tuingatie chakula na mazoezi.
Tusisingizie g spot ipo inchi mbili tu toka kwenye vulva na mwanamke akiguswa hapo kwisha habari
Nawaomba wanaume wenZangu tuzisugue kisawa sawa mpaka itoke nje na akikaa aikalie
 
Nimekuwa najiuliza sana kwanini siku hiziWanawake wamekuwa Vichechebalaa....Hawatulii...Sio kama zamani...Nanimepata jibu sasa....Sio kosa lao walaNI KOSA LETU WANAUMEHawatulii kwa sababu HATUWATULIZIZamani ilikuwa rahisi kusikia Wanawakewakihadithiana "Yaani My Man ananiduumpaka natamani nikimbie kitanda"..Siku hizihizo stori utazisikia mara 1 kwa miaka3...

Wanaume Kazi kushnehi Tunawapa shida Wanawake...Hata walioolewasiku hizi ndo maana wanakimbilia nje kutafuta pumziko. Zamani ilikuwa nadra sana Mke wamtu kuliwa nje, ila siku hizi dakika 2tu...wanavumilia wanachoka...unamgusagusautadhani dadako huyo...Mpe vyombo aombePoo...KOSA NI LETU WANAUMEDakika 3 tu unatiririka na kibamia chako nambilimbi...Unakoroma...hujui mkeo yukonjiapanda ya GB au Mataa yaSayansi.

Unategemea nini??Endekeza tu Bia...Burger..BroilerChicken...Ukifika uwanja wa Taifa unapaishaPenatiMwanamke Mpe Vogue Mfungulie kilabiashara.. Muachie na ATM yako yenyeMabilioni ya EPA na KAGODA...Kama BedTennis unachemka atachepuka tuWanaume wa Kibongo nipigeni Mawe lakinitumeishiwa Sanaa ya Kitanda..Tunafikiritukihonga na kum-monitor yuko wapi na nanianafanya nini ndo Mahaba.

Ukipewa unarukia tu kama bata mzinga...Nje kifuakikubwa....unatinga suti..gari kaliii...Hayachakula hiki hapa baba kula...unaishiakusomola somola tu na kumchafua mdada wawatu anabakia anasonya kimoyomoyo..CHAgua moja mapenzi au kam huwezi achana nayoJifunze Mapenzi kwanza lasivyo ACHANANAYO

You can never satisfy a woman. Nenda katafute pesa.

An intelligent man is a one who has find something more interesting than sex.
 
Mkuu umesema kweli tupuu
Halafu pamoja na hayo yote na uwezo mdogo kwenye game wanaongeza michepuko hahaaaa inakua mbayaaaaa
 
maneno yako kuntuuu kabsaaaaa
siku hizi ukihadithia tu kazi ya mupenzi kunako 6X6, baasss shosti ataanza kumlia mingo shemejie ndo maana tunakaa kimya hata aki-perform.
 
asante baba waambie na pia wapate mafunzo jinsi ya kuishi na mke
 
...... we kila siku unabadilisha madem......unafikiria ubingwa......hata nyumba ndogo mwisho moja tuu.....we ukirudi home ushagonga nje,,,,mkeo wamletea shombo,,,,asichepuke mchezo......unakunguta home kwanza tena haswaaa.....nje unarembesha tuu.....
 
maneno yako kuntuuu kabsaaaaa
siku hizi ukihadithia tu kazi ya mupenzi kunako 6X6, baasss shosti ataanza kumlia mingo shemejie ndo maana tunakaa kimya hata aki-perform.

umenena yaani sitaki rafiki wa kawaida ambae hatuna nae chochote kinachotu unganisha yaani either kazini ama michongo ya hapa na palebinafsi nina marafiki wa kazini tu USIJE HATA SIKU MOJA UKAMWAMBJA RAFIKI YAKO PERFORMANCE YA MPENZI WAKO MAANA WENGI HAWARIDHISHWI ASIPOIBA NAMBA BASI AKIJA KWAKO ATAMTEGA SANA sihitaji marafiki rejea fid q
 
Wanaume wanaojiweza wanashida hii sana lakini wale wakawaida wajanitahidi katika hili maana anajua kilichokuunganisha na yeye ni ufundi kitandani na sio ubishoo
 
umenena yaani sitaki rafiki wa kawaida ambae hatuna nae chochote kinachotu unganisha yaani either kazini ama michongo ya hapa na palebinafsi nina marafiki wa kazini tu USIJE HATA SIKU MOJA UKAMWAMBJA RAFIKI YAKO PERFORMANCE YA MPENZI WAKO MAANA WENGI HAWARIDHISHWI ASIPOIBA NAMBA BASI AKIJA KWAKO ATAMTEGA SANA sihitaji marafiki rejea fid q
ndo hivyo, tunasema siku hizi tunachekeana kichina na mashostito, ukijimaliza tu, basi imekula kwako mwenzangu
 
huko nje wanaenda kuliwa na nani kama siyo sisi hawa hawa!!halafu unaonekana unapenda story za kike hadi yote hayo uyasikie kwa kipi unachovizia kwa wake za watu!
 
wewe una uwezo wa kuhimili mipigo mingapi, make it an average per day...

Idadi ya mipigo sio issue sana ila mipigo yenyewe ya muda gani? Unaweza kuwa na mipigo mingi ila ya 2min each! Wakati mwingine anamipigo miwili tu ila 2hrs
 
........Na kweli wapate mafunzo jinsi ya kuishi na mke.
Wanaume wa siku hizi kwa kununa!! Utakuta mume ananuna mwezi mzima!!
Sasa mume unune unataka mkeo afanyeje?

Halafu kuna wale wanaokimbia majukumu, mke akiwa mfanyakazi.....basi ataka kila kitu afanya mkeo
kana kwamba yeye hana kazi na wakati naye ana kazi.

Wanaume wa siku hizi wengi wao ni mizigo, mkiachwa mnalalama!!

Fanya jukumu lako kama mume uone kama kutakuwa na tatizo ndani ya nyumba.
 
Waambie hao mafuta waweke full tank sio gari mita kumi mafuta yamekata.
 
wanawake wengi cku hizi waganga njaa sana ndo maana wanachepuka. sio kwamba hawapewi mambo. pesa kwa kwenda mbele. ucpokuwa na mdako hata utumike vp kwa bed ni kaZ bure. tafuta hera tu mkuu. watakuja wenyewe tu
 
Back
Top Bottom