Makavu live

Makavu live

kopuko

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
180
Reaction score
58
Nimekuwa najiuliza sana kwanini siku hiziWanawake wamekuwa Vichechebalaa....Hawatulii...Sio kama zamani...Nanimepata jibu sasa....Sio kosa lao walaNI KOSA LETU WANAUMEHawatulii kwa sababu HATUWATULIZIZamani ilikuwa rahisi kusikia Wanawakewakihadithiana "Yaani My Man ananiduumpaka natamani nikimbie kitanda"..Siku hizihizo stori utazisikia mara 1 kwa miaka3...

Wanaume Kazi kushnehi Tunawapa shida Wanawake...Hata walioolewasiku hizi ndo maana wanakimbilia nje kutafuta pumziko. Zamani ilikuwa nadra sana Mke wamtu kuliwa nje, ila siku hizi dakika 2tu...wanavumilia wanachoka...unamgusagusautadhani dadako huyo...Mpe vyombo aombePoo...KOSA NI LETU WANAUMEDakika 3 tu unatiririka na kibamia chako nambilimbi...Unakoroma...hujui mkeo yukonjiapanda ya GB au Mataa yaSayansi.

Unategemea nini??Endekeza tu Bia...Burger..BroilerChicken...Ukifika uwanja wa Taifa unapaishaPenatiMwanamke Mpe Vogue Mfungulie kilabiashara.. Muachie na ATM yako yenyeMabilioni ya EPA na KAGODA...Kama BedTennis unachemka atachepuka tuWanaume wa Kibongo nipigeni Mawe lakinitumeishiwa Sanaa ya Kitanda..Tunafikiritukihonga na kum-monitor yuko wapi na nanianafanya nini ndo Mahaba.

Ukipewa unarukia tu kama bata mzinga...Nje kifuakikubwa....unatinga suti..gari kaliii...Hayachakula hiki hapa baba kula...unaishiakusomola somola tu na kumchafua mdada wawatu anabakia anasonya kimoyomoyo..CHAgua moja mapenzi au kam huwezi achana nayoJifunze Mapenzi kwanza lasivyo ACHANANAYO
 
Heheheheeee.......... Yaaani nimecheka saana..!

Eti "dakika 3 unatiririka na kibamia chako na mbilimbi" Hahahaaa
 
Aaaah wapi vitoto vyenyewe haviridhiki mda wote antenna zipo juu
 
mfumo wa kula lazima ubadilike na mazoezi muhimu sana ku speed up mzunguko wa dam mwilini,huwezi stahimili muda mrefu kama mzunguko wa dam ni hafifu
 
vijana tukiambiwa tule dona kuku wa kienyeji, twasema eti second hand foods..

at the end of the day, madhara yake yanaonekana kitandani.. ni mfano halisi huu
 
Horyaaaaaa. Umenifurahisha. But hapo kwenye vibamia na vibirimbi umekosea njia.

Uchovu ni tabia ya mtu na sio package aliofungasha chini ya kitovu.

wanawake nao ni sehemu ya tatizo,

haiwezekani mi nile vizuri kisha nifanye mazoezi, halafu nije nikutane na dem ana kiribatumbo kilicholetwa na chipsi kuku na soda za ofa

hakika hakutokuwa na equilibrium hata kidogo... pande zote mbili ziko responsible.
 
Leo wanalo,waje walete porojo zao sasa heheeee!mtu anapiga kamoja anaangukia pembeni ka dume la bata kwa nn asisaidiwe!
wewe una uwezo wa kuhimili mipigo mingapi, make it an average per day...
 
Kama thread ingekuwa na ukweli basi kusingekuwa na michepuko kwa wanandoa.
 
Nimekuwa najiuliza sana kwanini siku hizi
Wanawake wamekuwa Vicheche
balaa....Hawatulii...Sio kama zamani...Na
nimepata jibu sasa....Sio kosa lao wala
NI KOSA LETU WANAUME
Hawatulii kwa sababu HATUWATULIZI
Zamani ilikuwa rahisi kusikia Wanawake
wakihadithiana "Yaani My Man ananiduu
mpaka natamani nikimbie kitanda"..Siku hizi
hizo stori utazisikia mara 1 kwa miaka
3...Wanaume Kazi kushnehi
Tunawapa shida Wanawake...Hata walioolewa
siku hizi ndo maana wanakimbilia nje kutafuta
pumziko...Zamani ilikuwa nadra sana Mke wa
mtu kuliwa nje...ila siku hizi dakika 2
tu...wanavumilia wanachoka...unamgusagusa
utadhani dadako huyo...Mpe vyombo aombe
Poo...
KOSA NI LETU WANAUME
Dakika 3 tu unatiririka na kibamia chako na
mbilimbi...Unakoroma...hujui mkeo yuko
njiapanda ya GB au Mataa ya
Sayansi...Unategemea nini??
Endekeza tu Bia...Burger..Broiler
Chicken...Ukifika uwanja wa Taifa unapaisha
Penati
Mwanamke Mpe Vogue Mfungulie kila
biashara.. Muachie na ATM yako yenye
Mabilioni ya EPA na KAGODA...Kama Bed
Tennis unachemka atachepuka tu
Wanaume wa Kibongo nipigeni Mawe lakini
tumeishiwa Sanaa ya Kitanda..Tunafikiri
tukihonga na kum-monitor yuko wapi na nani
anafanya nini ndo Mahaba...Ukipewa unarukia
tu kama bata mzinga...Nje kifua
kikubwa....unatinga suti..gari kaliii...Haya
chakula hiki hapa baba kula...unaishia
kusomola somola tu na kumchafua mdada wa
watu anabakia anasonya kimoyomoyo..CHAgua moja mapenzi au kam huwezi achana nayo
Jifunze Mapenzi kwanza lasivyo ACHANA
NAYO
hata kwenye mapenzi kuna Master na slave!

inategemea na wahusika wanajionaje, je wote ma-masters or wote ma-slave au Mwanaume Master na mke Slave au mume Slave Mke Master?
 
Back
Top Bottom