S samiG6 Member Joined Apr 22, 2013 Posts 18 Reaction score 3 Aug 30, 2022 #1 Hello hii ni kwa MAwakala, ningependa kufaham mtandao gani una makato rahisi kwa njia ya lipa kwa mteja kulipia na kuamisha fedha Kati ya lipa ya tigo au lipa ya vodacom, mtanisaidia Sana kwa hili.
Hello hii ni kwa MAwakala, ningependa kufaham mtandao gani una makato rahisi kwa njia ya lipa kwa mteja kulipia na kuamisha fedha Kati ya lipa ya tigo au lipa ya vodacom, mtanisaidia Sana kwa hili.
Ndalilo JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 3,672 Reaction score 8,309 Aug 30, 2022 #2 Mkuu, muda si mrefu tutasafirisha fedha kwa mabasi ya kwenda mkoani. Tunarudi kwenye jembe la mkono kwa kasi ya mwanga!
Mkuu, muda si mrefu tutasafirisha fedha kwa mabasi ya kwenda mkoani. Tunarudi kwenye jembe la mkono kwa kasi ya mwanga!
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,292 Reaction score 103,493 Aug 30, 2022 #3 PIGA 100 utapewa maelekezo