Ukinunua wiki hii wiki ijayo gharama zimepanda. Hivi Mamlaka ya mawasiliano inafanya kazi gani!?
Yawezekana wewe haikugusi moja kwa moja lakini swala la makato ya data kwenye mitandao ya simu yamekuwa mzigo kwa wengi.
Kuna mtandao mmoja kila baada ya wiki mbili unaongeza ada ya data au kupunguza kifurushi cha data.
Toa maoni/mchango wako nini kifanyike yawezekana serikali yetu 'sikivu' itasikia na kufanya kitu
Tatizo na nyie hamujui kuiba! Najipatia 30 GB kila wiki za Ujanja ujanja, google store bwana kumbe kuna vitu vizuri hatutaki kuvipekenyua na si lazima uwe umesoma IT ni utundu wako tu
Tatizo na nyie hamujui kuiba! Najipatia 30 GB kila wiki za Ujanja ujanja, google store bwana kumbe kuna vitu vizuri huko hatutaki kuvipekenyua na si lazima uwe umesoma IT ni utundu wako tu