Makato NMB mkononi to Lipa namba

Makato NMB mkononi to Lipa namba

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,297
Reaction score
1,861
Wakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda lipa namba ya voda hua ni free.Leo nimelipa tena 10,000 wamenikata 1,000 hii imekuwaje wakuu naombeni muongozo please🙏😁.
 
Vya bure siku zote gharama 😢

Bongo wametulia timing now ni kulata tu.

Ila kusema kweli inaonekana watu watahamasika kutumia online sana makato yakiwa hayapo.

Serikali ifanye namna hizi pesa wanatumia kuchapisha watoe ruzuku miamala kidigtal iwe free
 
Ni kwikwi nmeona juzi sirudii tena, ushauri kwao hii ni njia bora online ikipunguzwa makato au iwe for free
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom