Umkilo JF-Expert Member Jan 24, 2018 470 419 Apr 12, 2019 #1 Baada ya kusoma vipande kadhaa via ripoti ya CAG ya 2017/18 nimejikuta nikitamani kujua makatibu wakuu wizara ya mambo ya ndani walikuwa wakinani? Kipindi cha pili cha awamu ya 4 na miaka m3 ya awamu ya 5. Maana aisee sio kwa Madudu yale.
Baada ya kusoma vipande kadhaa via ripoti ya CAG ya 2017/18 nimejikuta nikitamani kujua makatibu wakuu wizara ya mambo ya ndani walikuwa wakinani? Kipindi cha pili cha awamu ya 4 na miaka m3 ya awamu ya 5. Maana aisee sio kwa Madudu yale.
Umkilo JF-Expert Member Jan 24, 2018 470 419 Apr 12, 2019 Thread starter #2 Naamaanisha makatibu wakuu na sio mawaziri
E edward pais Member Aug 16, 2016 38 60 Apr 12, 2019 #3 Wa kwanza ni Abdul wakili, lakn alikuwa Katibu mwadilifu haijapata kutokea ktk wizara hiyo
Good Father JF-Expert Member Feb 28, 2014 10,277 18,354 Apr 12, 2019 #4 Retired Maj. Gen. Rwegasira huyu hawezi kukwepa hilo zigo kapiga parefu Sent using Jamii Forums mobile app
Retired Maj. Gen. Rwegasira huyu hawezi kukwepa hilo zigo kapiga parefu Sent using Jamii Forums mobile app
Z zithromax JF-Expert Member Apr 26, 2016 6,324 5,990 Apr 12, 2019 #5 Mtafanya watu wasisimuke jamani huko walipo