Makatibu mkuu wizara ya mambo ya ndani 2010/15 na 2015/18 walikuwa kina nani

Umkilo

JF-Expert Member
Jan 24, 2018
470
419
Baada ya kusoma vipande kadhaa via ripoti ya CAG ya 2017/18 nimejikuta nikitamani kujua makatibu wakuu wizara ya mambo ya ndani walikuwa wakinani? Kipindi cha pili cha awamu ya 4 na miaka m3 ya awamu ya 5.

Maana aisee sio kwa Madudu yale.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom