M MPadmire JF-Expert Member Mar 7, 2006 3,931 3,227 Mar 12, 2019 #1 Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani? Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa? Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu?
Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani? Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa? Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu?
Greatest Of All Time JF-Expert Member Jan 1, 2017 20,721 45,129 Mar 12, 2019 #2 MPadmire said: Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani? Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa? Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu? Click to expand... Umenikumbusha jinsi mwaka 2010 watu walivyokuwa na imani kuwa zile kalamu zilizopo ndani ya vyumba vya kupigia kura ni.za ccm. Yaani ukipiga tiki yako kwa Dr. Slaa baadae inafutika inahamia kwa Kikwete. Haya mambo haya...
MPadmire said: Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani? Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa? Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu? Click to expand... Umenikumbusha jinsi mwaka 2010 watu walivyokuwa na imani kuwa zile kalamu zilizopo ndani ya vyumba vya kupigia kura ni.za ccm. Yaani ukipiga tiki yako kwa Dr. Slaa baadae inafutika inahamia kwa Kikwete. Haya mambo haya...
kilambalambila JF-Expert Member Nov 16, 2013 9,290 8,611 Mar 12, 2019 #3 Yanachapishwa hapahapa Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
TAWA JF-Expert Member Jun 23, 2013 3,667 1,566 Mar 12, 2019 #4 Mbuzi Wa bwana heri na Shamba LA bwana heri Sent using Jamii Forums mobile app
Richard irakunda JF-Expert Member Oct 23, 2018 3,660 4,383 Mar 12, 2019 #5 Yanachapishwa nchi nyingi lkn ya Tanzania huchapiswa Zimbabwe China Yugoslavia Russia Bulgaria Slovokia Mongolia Kyerafaso Sent using my iPhone using jamiiforum app
Yanachapishwa nchi nyingi lkn ya Tanzania huchapiswa Zimbabwe China Yugoslavia Russia Bulgaria Slovokia Mongolia Kyerafaso Sent using my iPhone using jamiiforum app
S senzighe JF-Expert Member Jan 1, 2012 1,979 1,512 Mar 12, 2019 #6 MPadmire said: Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani? Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa? Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu? Click to expand... Yanachapishiwa nyumbani kwenu.
MPadmire said: Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani? Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa? Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu? Click to expand... Yanachapishiwa nyumbani kwenu.
M mwakijembe JF-Expert Member Mar 20, 2017 1,638 2,293 Mar 12, 2019 #7 MPadmire said: Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani? Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa? Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu? Click to expand... Jiwe ndio anaenda kutoa tender China ya kutengeneza karatasi za kura.
MPadmire said: Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani? Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa? Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu? Click to expand... Jiwe ndio anaenda kutoa tender China ya kutengeneza karatasi za kura.
tremendous JF-Expert Member Aug 12, 2016 3,237 5,307 Mar 12, 2019 #8 Richard irakunda said: Yanachapishwa nchi nyingi lkn ya Tanzania huchapiswa Zimbabwe China Yugoslavia Russia Bulgaria Slovokia Mongolia Kyerafaso Sent using my iPhone using jamiiforum app Click to expand... Aisee. Sent using Jamii Forums mobile app
Richard irakunda said: Yanachapishwa nchi nyingi lkn ya Tanzania huchapiswa Zimbabwe China Yugoslavia Russia Bulgaria Slovokia Mongolia Kyerafaso Sent using my iPhone using jamiiforum app Click to expand... Aisee. Sent using Jamii Forums mobile app
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 117,789 218,431 Mar 12, 2019 #9 mwakijembe said: Jiwe ndio anaenda kutoa tender China ya kutengeneza karatasi za kura. Click to expand... Aiseee !!!
mwakijembe said: Jiwe ndio anaenda kutoa tender China ya kutengeneza karatasi za kura. Click to expand... Aiseee !!!
utukufu mwanjisi JF-Expert Member Aug 19, 2017 2,830 2,417 Mar 12, 2019 #11 CHINA Sent using Jamii Forums mobile app
M MPadmire JF-Expert Member Mar 7, 2006 3,931 3,227 Mar 14, 2019 Thread starter #12 China ndio Rafiki wa Kweli Kutuuzia vitu feki Na kusaidia kubaki madrakani - ili wapewe tenda za ujenzi Samaki wabovu kutoka China
China ndio Rafiki wa Kweli Kutuuzia vitu feki Na kusaidia kubaki madrakani - ili wapewe tenda za ujenzi Samaki wabovu kutoka China